Eneo la heka 15 linauzwa - lipo kigamboni

Eneo la heka 15 linauzwa - lipo kigamboni

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Eneo lina ukubwa wa heka 15, lipo eneo la Dege kigamboni , ni mwendo wa 23km toka feri , bei ni tsh 40m@ heka . linafaa kwa matumizi mbali mbali makazi au biashara . tuwasiliane 0657145555.
 
Eneo lina ukubwa wa heka 15, lipo eneo la Dege kigamboni , ni mwendo wa 23km toka feri , bei ni tsh 40@ heka . linafaa kwa matumizi mbali mbali makazi au biashara . tuwasiliane 0657145555.

Hapo panapo bleed sijaelewa mkuu. fafanua kidogo
 
Haya bwana, hata beach plot ekari moja haiuzwi 40M mkuu. Muwe serious muache ulanguzi

Nahitaji ekari 3 nina 6M, Ukiwa tayari nicheki pm tufanye biashara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom