wakuu nahitaji eneo la kufanyia biashara ya chipsi hapa dar,bajeti yangu ni laki 3 kwa kulipia iwe miez sita ama la ila ninayo laki 3 ya kodi.. napatikana survey near mlimani cty..Nikipata eneo karbu na mitaa hii itakua vizuri zaid..Niko serious nahitaj hata kesho asubuhi