eneo la biashara

young prof

Member
Sep 20, 2012
37
11
habari zenu wakuu!kuna eneo zuri la biashara linapangishwa eneo la mbagala saba saba opposite na st.anthony secondary school pemben ya barabara,ni kubwa kwa anaepajua ni zile fremu zote zinazoonekana pale pembeni ya shule na nyuma yake pia kuna eneo kubwa,maofisi mengi kama mabenki yanahamia kule watu ni wengi sana na barabara inaisha soon
for further details pm me plz
 
Back
Top Bottom