Eneo la biashara linauzwa

Feb 7, 2015
30
12
Mahali: kigamboni kwa URASA

Muingiliano: Ni sehemu iliyochangamka na ina wakazi wazawa na sehemu kubwa mji unachangamshwa na wanachuo kutoka vyuo kama IFM, CBE, Mwl.Nyerere na Chuo cha Utumishi wa Umma (Magogoni). Mzunguko na mkusanyiko wa watu ni mkubwa.

Eneo: Eneo hili la biashara lipo katika sehemu nzuri kibiashara, pia linafaa kwa biashara za aina zote na ukapata wateja wengi na wa uhakika. Eneo ni kubwa la kutosha, pia eneo lina hewa ya kutosha.
Eneo limejengwa kitaalamu na ni sehemu yenye mvuto kibiashara.

BEI: Eneo hili linauzwa Tsh. 5 Millions

Mawasiliano: Kwa yeyote mwenye uhitaji wasiliana nasi kwa namba hii; +255 713 741 758 au Email hii; corneliousbk@gmail.com

NB: Naambatanisha baadhi ya picha za eneo hilo. 20140919_181835[1].jpg 20150130_103224[1].jpg



 

Attachments

  • 20140919_181820[1].jpg
    20140919_181820[1].jpg
    644.8 KB · Views: 104
hiyo 5M unauza eneo au unauza kibanda cha chips kisha mnunuzi analipa pango kwa mwenye eneo?
 
Banda la biashara, mnunuzi atakubaliana na mwenye ardhi jinsi ya kulipana. Sisi kwa mwezi tulikuwa tunamlipa elfu hamsini (tsh.50,000/-)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom