Car4Sale Eneo kwa ajili ya uchimbaji madini lilopimwa na kupewa kibali linauzwa

zebanga watelanga

JF-Expert Member
May 3, 2013
862
398
Eneo lenye ukubwa wa heka 8 lilio pewa kibari na wizara hisika linauzwa na limepewa kibari na serikali na lina nyaraka zote muhimu
-Lipo kijiji cha kwankonje
-kitongoji chaperu
-wilaya ya bagamoyo
Bei mill 78
Simu 0712690760
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hajakosea hata mawe ni madini kama umesoma gemeology utaelewa
Umeelewa topic lakini??
Au umejisikia tu kukosoa bila kujua unakosoa nini??
Ye kasema Eneo analouza lina dhahabu,
Sasa Bagamoyo kuna machimbo ya dhahabu??
 
Umeelewa topic lakini??
Au umejisikia tu kukosoa bila kujua unakosoa nini??
Ye kasema Eneo analouza lina dhahabu,
Sasa Bagamoyo kuna machimbo ya dhahabu??
Nimeelewa sana tu na Wewe nimekuelewa vizuri ulivyomshauri aseme mawe na sio madini ndio maana nikakuelewesha hata mawe ni madini hiyo ni elimu tu usichukie
 
Back
Top Bottom