BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,810
Hii hali hutokea mara moja moja sana, yaani naweza kuwa nimejilaza kitandani inatokea eneo linalozunguka kitovu linakuwa kama linavuta hivi kiasi kwamba siwezi kufanya chochote kwa wakati huo inabidi nitulie.
Hali hii haidumu kwa muda mrefu, huchukua kati ya sekunde thelathini mpaka dakika moja. Na hali hii huwezi kutokea mara moja kwa mwezi au nikakaa ndani ya miezi hata miwili isitokee lakini baada ya muda huja kujirudia tena. Ninachojiuliza hii hali husababishwa na nini? Je, ni tatizo la utumbo au ni kitu gani?
Kwa hapa Dar ni kuna clinic yoyote ile ya specialist wa maswala ya tumbo? ipo sehemu gani?
Note: Mimi ni mwanaume
Asanteni.