Eneo kubwa la Dar es Salaam kukosa maji. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eneo kubwa la Dar es Salaam kukosa maji.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tusker Bariiiidi, Mar 19, 2012.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,638
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  RADIO ONE BREAKING NEWS: Bomba kubwa liletalo Maji Dar limepasuka eneo la Kerege Bagamoyo (ni Maji kutoka Mtambo wa Ruvu chini.) afisa uhusiano amedai itachukua siku 2 tu. kwa uzoefu wangu zoezi la kuunga bomba laweza kuchukua wiki 1 au zaidi.

  Baadhi ya Maeneo yatakayokosa maji ni BAGAMOYO,MAPINGA,KEREGE,BUNJU,BOKO,TEGETA,MBEZI BEACH,KUNDUCHI,MWENGE,SINZA,KIJITONYAMA,MIKOCHENI,MSASANI,OYSTERBAY,UPANGA,KARIAKOO,CITY CENTRE, MAGOMENI NA MWANANYAMALA.
   
 2. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,546
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  sema sina maji usiseme hatuna maji
   
 3. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,638
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Nani kasema hana maji?
   
 4. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,148
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  75% ya waswahili hawasomi kitu chochote chenye zaidi ya sentesi moja.
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  atakuwa ana kisima huyo......ukonga to pugu
   
 6. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,638
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Namshangaa mimi yaani!
   
 7. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  you are wrong my friend hapo katika red.

  Ingekuwa Ruvu juu sawa lakini Ruvu chini, Pinda mwenyewe atapanda kusimamia zoezi

   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,028
  Likes Received: 5,196
  Trophy Points: 280
  wengine tunatumia visima toka 1994 hatuna maji ya bomba...... Tutawauzia mnaotegemea ya dawasco..... Kaeni mkao wa kununua.........
   
 9. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,638
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  itakuwa hivyo... Lakini mbona watu wenye Solar hawawi wakali TANESCO wanapotangaza Mgao?
   
 10. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,638
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Labda enzi za Eddo si unakumbuka alivyomtoa nishai Mhandisi aliyekwenda na Suit site ila kwa Mtoto wa Mkulima sidhani...
   
 11. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 3,574
  Likes Received: 1,963
  Trophy Points: 280
  Hakuna tofauti. Kwa kawaida huwa haijulikani siku Dar kukiwa na maji au hamna yote sawa tu maana misusuru ya kina mama na ndoo zao kichwani huwa haiishi Jan-Dec!
   
 12. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,118
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  ivi kwani Dar kuna maji ya bomba jamani?
   
 13. Mchana

  Mchana Senior Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 170
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nadhani itabidi hii issue ishughulikiwe haraka kwani huku ndiko sisi wazito tunapokaa...............
   
 14. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 1,963
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Itachukua mwezi mzima au zaidi, hii ni bongo
   
 15. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,638
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Hospital ya Muhimbili na Ocean Road nazo hazina maji hii ni hatari...
   
 16. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,638
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Sehemu ya Bomba lililokarabatiwa limepasuka tena...
  JOB TRUE TRUE...
   
 17. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Live Radio1.....maji mpaka jumapili

  [​IMG]
   
 18. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,638
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kaka! lakini hao kina Mama hawana pa kuchota maji... Hivi sasa Madumu ya Uhai yanauzika saaana!
   
 19. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,940
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  75%???? Mkuu source wapi ya hiyo figure?
   
 20. bht

  bht JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,297
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  hii si habari mpya wala nini...

  Hii pesa wangehifadhi waje walipie tangazo siku ambayo sehemu kubwa ya Da watapata maji ili wakeshe wakijijazia vidumu vya uhai.
   
Loading...