Endesha biashara yako kisasa

Endesha biashara yako kisasa

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Wadau,

Ninazo QuickBooks Pro za mwaka 2014, inapatikana ikiwa full package: Ina video za kuonyesha jinsi ya kutumia kuanzia ku-enter bills, pay bills, create invoices.... etc Pia ina keys zake. Ipo kwenye CD yake pamoja na kasha lake.

Kwa wasio ifahamu, hii ni njia nzuri ya bora, ya kisasa na salama ya utunzaji wa kumbukumbu zako za kifedha ni kwa kutumia software inayoitwa quickbooks, hauna haja ya kukaa na kuanza kuumiza kichwa kuangalia kilichoingia na kilicho toka. Unachokifanya wewe ni kuangalia report zako tu.

Baada ya kuingiza taarifa zako za kifedha kwa mwezi mzima, ukijaangalia report itakupa majibu yote. Hii software ni nzuri kuanzia wenye maduka madogo, wenye kampuni ndogo ndogo na aina yoyote ile ya biashara ambayo inaendeshwa kisasa. Huu ni wakati wa kuacha kutunza kumbukumbuku kwenye madaftari kwani ni rahisi sana kupoteza.

Gharama ya Quickbooks pamoja na video zake zote na keys ni sh. laki mbili tu. Kama unahitaji nitafute PM au wasiliana nami kupitia email yangu: tonyhaule@hotmail.com


 
Nina swali, kwa Mfano Mjasiriamali Mali mdogo anaduka la vyakula na nahitaji mbalimbali ya nyumbani, je anaweza kurekodi kwenye hiyo software item/product zote alizonunua wakati anafunga mzigo then akishauza dukani akaingiza item moja moja at the end inamwonyesha mzigo uliouzwa na ngapi zimebakia na profit ni kiasi gani?
Nataka kufahamu pia kama hiyo software inaweza fanya kazi hiyo.
 
kijana13 , software hii ni maalumu kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wote. Unaingiza mtaji uliyopo, unaingiza matumizi yako, unaingiza ulichopata then ukitaka report inakupa ili ujue umekula hasara au faida. Cha msingi ingiza kila taarifa ya kifedha, usiache kitu.

Uzuri ni kwamba, hata kama hufahamu sana kutumia kuna video zake zote za jinsi ya kufanya kila kitu. Kama upo mkoani tunatuma kwa gharama zetu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wa mikoani mlioagiza, mizigo yenu nimetuma jana. Tutawasiliana zaidi ili kuwapa namba ya mzigo. Karibuni
 
Katika post yangu kule ulisema unawawekea watu bure iliishia wapi ya bure...ujue siku hizi kila mtu amekuwa sio kudanganywa tu.
 
Hukunielewa mkuu, bure kukufanyia installation kwa wale ambao hawana uwezo wa kuweka. Ila CD ndio inauzwa mkuu. Karibu sana
 
Mzigo unazidi kutokomea, wahi sasa.
nitumie namba yako ya simu nikupigie, email yangu:tonyhaule@hotmail.com
 
Habari marafiki,


We sell accounting software QuickBooks Pro 2014 for keeping your financial transactions in more professional way, Quickbooks accounting software will enable you to have financial statements easily, but also we provide training for using quickbooks . Our offices located at Masaki, Dar es Salaam. Price: 200,000 TZS.


This software is suitable for your personal business, small company/organization and big companies. There is no need for keeping your financial information manually while you can save them in the system.


But also we help to solve your IT problems and maintain your IT system. Our technology-enabled solutions include IT outsourcing, software and website development.


KARIBUNI SANA.
 
Back
Top Bottom