Bro..it's real wala sikutanii...mm na ww hatuna utani wala sina sababu ya kukudanganya that is my trade and I am coplete honest with you......tek it or leave it...
Sijaona mtu kalima viazi kavuna kapiga pesa kaja kupost hapa "endeleni kusema viazi havilipi.."
Kwann watu wa forex show off nyingiii yani kutwa kujionesha hyo ndio inafanya muonekane matapeli sababu inaonekana mnavutia watu wa trade kupitia nyie.. kama kweli unapiga hela we piga usigeuze wenzio fursa