End to End Encryption.

PRINCEd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
862
Reaction score
625
Wanajamvi ili neno nimekuwa nikiliona WhatsApp pia uwa linanipa jeuri kuwa pengine kuchati, kupiga simu na video call, kwa WhatsApp sio rahisi kuwa traced kama wanavyofanya katika normal text namaanisha service provider kama Vodacom na wengineo mfano umetukanana na mtu kwa normal text akaenda Vodacom akaprint zile text kwa ushahidi labda wa kimahakama. Je, swala hili linawezekana pia katika Jumbe za WhatsApp na mitandao mingine ya kijamii??

Naomba kusalishaa

Cc Chief Mkwawa..
 
App zinazotumia end to end encryption kama WhatsApp, Signal, Wire haziwezi kusomwa na mtu yoyote kasoro ya wewe mtumaji na mpokeaji hata Facebook wamiliki wa WhatsApp pamoja ya kwamba msg inapita ktk server zao hawawezi kuzisoma. Provider haoni kitu kasoro tu kuwa kuna data inapita inaenda WhatsApp, hajui lolote zaidi ya hilo. Tatizo la WhatsApp ni kuwa inaonyesha namba yako kwa wale unaowatumia so wanaweza kukuchoma. Wire ni bora kwa kuwa unaweza ukajiandikisha bila namba ya simu so hakuna ushahidi nani ametuma nini.

App kama FB Messenger ambazo ni encrypted lakini sio end to end unaweza kusoma mtumaji, facebook na mpokeaji. Again provider haoni kitu.

SMS zinasomeka kwa provider wako na provider wa upande wa pili na anyone in between ie Voda,Tigo etc now kama wanahifadhi msg inategemea na wao wenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…