Patriotic ni offensive au defensive?
NATO ipo katika maandilizi ya Mwisho ya Kuipiga Syria. Upelekwaji wa PATRIOT MISSILES katika Nchi ya Uturuki, ni moja ya maandalizi ya kumaliza kazi Syria. Kwani katika hali ya kawaida, huwezi ku move heavy military equipment za kijeshi bila kusababisha maswali ya juu ya nini? Sas ili kuondoa maswali mengi kwani wewe ni polisi, NATO na Syria wameamua kupeleka vifaa hivyo mpakani mwa Uturuki na Syria ni Dalili tosha kua mambo yameiva, kama walivyo fanya Iraq No fly zone, then full flaged war.
On the ground wapigania Uhuru nao wameendelea kupiga makombora kishenzi.
Syria ipigwe! ipigwe! Syria ipigwe! Ipigwe! Nimekumbuka maneno ya wanajeshi na Raia wa Tanzania walipokua wakienda vitani Uganda, walikua wakiimba hivyo. AAMIN APIGWE! APIGWE! AAMINI APIGWE! APIGWE! Na karibuni hivi mtasikia BANDA APIGWE! APIGWE! BANDA APIGWE! APIGWE!
wewe mbona unapenda vita sana?unashabikia vita? huonei huruma damu za watoto na wanawake na watu wasio na hatia watakaokufa? then baada ya vita unafaidika nn wewe?
Kwahiyo hao raia wa Syria watoto wanawake na vikongwe wanaopigwa kwa ndege za kijeshi za nchi yao wenyewe unaona ni sawa? Mhhh! freedom of speech!
kwa hiyo unalipiza mauaji ya raia kwa mauaji ya raia?wewe vita unaviona kwenye TV tu uliza tuliowahi kuwa frontline kwenye vita mbalimbali ndio utajua utamu wa vita!
kwa hiyo unalipiza mauaji ya raia kwa mauaji ya raia?wewe vita unaviona kwenye TV tu uliza tuliowahi kuwa frontline kwenye vita mbalimbali ndio utajua utamu wa vita!
wewe mbona unapenda vita sana?unashabikia vita? huonei huruma damu za watoto na wanawake na watu wasio na hatia watakaokufa? then baada ya vita unafaidika nn wewe?[ kwa hali iliyopo sasa hv ni heri assad akangolewa kwa nguvu kwa maana weng wamekufa chini ya utawala wa baba yake na yeye tatizo ni urusi na china.
Always the "West" has to come and rescue these kind of people. Where are the followers of that cacoferocious demigod?
It does both ways. Na kumbuka haikutengenezwa for defensive purposes. Ili tengenezwa ili kushambulia, lakini Saadamu Hussein R.I.P, alipo anza kupiga makombora ndani ya Riyadh Saudia Arabia na Telaviv Israel, ndio Patriot zilitumika kwa mara ya kwanza ku intersect the scud missiles. Iliifanya hiyo kazi sucessfull, from there inatumika kama defensive, but it is not.
kaka huwezi kutibu jipu bila kulipasua.
Ikibidi ooohh.... Yes....!!!
These words are too late to be spoken, it is WAR, WAR now.... NO WORDS..... IT'S WAR TIME...!!
WASHINGTON: Information from trusted source says Asaad soon is going to use CHEMICAL WEAPONS AGAINST HIS OWN CITIZENS, Washington said that is RED LINE, meaning if Asaad will even try in minutes using of such deadly chemical weapons WASHINGTON WILL HIT HARDEST ON AIR and GROUND QUICKLY EVEN KILLING ASAAD AND FAMILY....!!!
Is a matter of hours bcoz NATO LONG RANGE MISSILES
ALREADY HEADING TO TURKEY- SYRIAN BOARDER.....!!!
they named it PATRIOTIC just to lie the world of which will be so much OFFENSIVE soon and not DEFENSIVE
Asaad must goo.....!!!!
it's too late to compromise with him.....!!!!!