Pelekaroho
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 1,602
- 378
I have just been informed that the Dr is doing fine wherever he is being treated! Very reliable info, take it from me!!
!!
I have just been informed that the Dr is doing fine wherever he is being treated! Very reliable info, take it from me!!
However the source could not tell me where he is being treated because the conversation was by phone.
Let's keep on praying for him!!
mi mwenyewe nimekikubali hicho kitengo, kama kinaweza kumng'oa mtu meno na kucha, mmmmmm...........! c.r.a.p!Ndugu kapotolo unajidanganya sana na sidhani ni kazi ngumu kujua mgonjwa anaenda kutibiwa wapi maana katika kile ninachoamini hukifahamu ni kwamba makachero wanafanya kazi na agents ambao hata wewe waweza kuwa agent bila kujitambua. Jiulize ticket zinapatikana wapi kama siyo hizi system za Amedeus na Galileo? Je immigration ni nani hawa hasa wa Airports? Uwanja wa ndege alioutumia ni wa wapi au alitoroshwa kupitia nchi jirani?
Tuache kujidanganya na tuache siasa in this matter. Hao TISS wanaouwezo wa kukutruck popote muzee tena hasa ukiwa nnje ya nchi ambako addresses ziko vizuri na kwa taarifa yako kitengo cha uchunguzi (Detective Depatment) cha Tanzania kinakubalika kuliko unavyodhani.
Ndugu kapotolo unajidanganya sana na sidhani ni kazi ngumu kujua mgonjwa anaenda kutibiwa wapi maana katika kile ninachoamini hukifahamu ni kwamba makachero wanafanya kazi na agents ambao hata wewe waweza kuwa agent bila kujitambua. Jiulize ticket zinapatikana wapi kama siyo hizi system za Amedeus na Galileo? Je immigration ni nani hawa hasa wa Airports? Uwanja wa ndege alioutumia ni wa wapi au alitoroshwa kupitia nchi jirani?
Tuache kujidanganya na tuache siasa in this matter. Hao TISS wanaouwezo wa kukutruck popote muzee tena hasa ukiwa nnje ya nchi ambako addresses ziko vizuri na kwa taarifa yako kitengo cha uchunguzi (Detective Depatment) cha Tanzania kinakubalika kuliko unavyodhani.
Hatuhitai ukweli zaidi ya tunaoujua. For his sake and his family aombe assylum huko aishi na kupractice profession yake hadi hapo ukombozi utakapopatikana. Akirudi, well sitaki kuamini kitakachomtokea! Ushauri tu
Akikimbia itakuwa vizuri zaidi maana wagonjwa wetu wataendelea kupata matibabu na maisha ya wasio na hatia yataokolewa. NI afadhali yeye mmoja aende zake ili wapone wengi kuliko akiendelea kuwepo hapa na migomo ya 3.5 M
Hatuhitai ukweli zaidi ya tunaoujua. For his sake and his family aombe assylum huko aishi na kupractice profession yake hadi hapo ukombozi utakapopatikana. Akirudi, well sitaki kuamini kitakachomtokea! Ushauri tu
Look here:
1. Mungu aendelee kumpigania shetani aendelee kuaibika.
2. Mungu aendelee kumpigania, shetani aendelee kuaibika.
3. Mungu aendelee kumpigania shetani, aendelee kuaibika.
Ni sentensi ipi iliyo sahihi?