Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,379 Mar 10, 2013 #1 kuna wakati mwingine firefox inakua ngumu kufanya kaz kwenye firefox kwa mfano huwez kuitumia kudownload yovube kwa sababu kadhaa, anyway hata iwe tatizo gani hii trick itafanya idm iweze kuingia kwenye mozxilla yoyote 1.download hii add on https://data.internetdownloadmanager.com/idmmzcc/idmmzcc.xpi open with: mozilla firefox 2.restart firefox 3.ili kuhakikisha minya ctrl, alt na A kwa wakati moja then kama ipo disabled itabidi uminye ENABLE kwenye IDM CC
kuna wakati mwingine firefox inakua ngumu kufanya kaz kwenye firefox kwa mfano huwez kuitumia kudownload yovube kwa sababu kadhaa, anyway hata iwe tatizo gani hii trick itafanya idm iweze kuingia kwenye mozxilla yoyote 1.download hii add on https://data.internetdownloadmanager.com/idmmzcc/idmmzcc.xpi open with: mozilla firefox 2.restart firefox 3.ili kuhakikisha minya ctrl, alt na A kwa wakati moja then kama ipo disabled itabidi uminye ENABLE kwenye IDM CC