EMS Posta kuna nini wanaJF?

EMS juzi hapa walinivuruga khaaa nilitumiwa pump ya kukamulia maziwa ya kunyonyesha ilivyoletwa mezani wakaniuliza unajua imenunuliwa kiasi gani nikawaambia nafikiri dolla 100 ..akanijibu mbona hapa imeandikwa usd400 nikamwambia sawa tunafanyaje..ooh unatakiwa ulipe ushuru nikamjibu sawa akaanza kunipigia mahesabu khaa ananiambia kalipe pale laki350000 nilichoka yani ushuru 50%!!hamu ya pump yote iliniisha mmh
SIERA hao sio EMS ni jamaa wa TRA kitengo cha CUSTOMS, wanakusanya ushuru wa serikali.
juzi nimetumiwa divine sensual nimechajiwa shs 20,000/ wakati thamani ya mzigo ni usd 7. jamaa wa customs noma sana.
 
RedDevil nafikiri hapa kuna haja ya kuwekana sawa, kwani kama mzigo uko subject to custom duty & vat hapo ni lazima mtumiwa alipe na mara nyingi ni vitu zaidi ya barua. Maana hata customs wanakitengo chao posta kwa ajili ya kuweza kujua ni mzigo gani utozwe kodi kabla ya kuchukuliwa.

Mkuu
Mimi hapa UK natuma mzigo kwa kupitia watu wa kawaida kama mawakala, na mara ya mwisho nimetuma mzigo wa kilo 12, kila kilo pounds 4 kwa zanzibar kama Dar ni 5 na mzigo within 1 week to two weeks, na shipping yao ni flights.
Kutumia mawakala ni huduma rahisi na ya kuaminika kuliko hao poster au Ems
Jengine hawa poster gharama zao ni kubwa kuliko thamani ya kitu, Jaribu ku post simu yako tu kwa njia ya poster utaona gharama yake zaidi ya pounds 50.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom