Category nyingine pale hazina skills , mfano computer ina skills yake kama microsoft application, communications na accounting hazina na ukizichagua kusave zinagoma hadi uweke skills zake,unafanyaje pale?
Msisahau vigezo ni upper second na kuendelea msije kuomba na pass zenu
acha kukatisha watu tamaa hawaangalii GPA.
Soma vizuri vigezo vilivyoainishwa kwenye tangazo mkuu.
Kama una lower afu una postgraduate unaruhusiwa pia
Kama una lower afu una postgraduate unaruhusiwa pia
Kama una lower afu una postgraduate unaruhusiwa pia
sijaona aisee naomba unielekeze, najua kwenye ile form kunakipengele unajaza GPA ila hawaspecify kama ni upper, kweye qualifications z post walizotoa pia sijaona
Soma vizuri basic requirements za wanaohitajika kuapply siyo kwenye form unayojaza ya job application au fungua kila post upate maelezo yake
nimefungua post y senior procurement sijaona mkuu kama utaweza kucopy hicho kipengele utakuwa umenisaidia sana
Ngoja kwanza watoto wa vigogo wa-apply kwanza ili ikija kufunguka sisi watoto wa wakulima tuwe tumechelewa. Wao walishataarifiwa waka apply kabla
Jamani mwalimu anavigezo hapooo hizo za TRA?
Wadau mbona mie kila nikijaribu kuomba kazi hapo inaniletea huu ujumbe, au TRA hawataki huu mwaka na mie lazima nipate
mbona sehemu ya qualification attachment haionekani tena?