Employment opportuinities St. Augustine University

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,060
23,939
Kuna nafasi za wahadhiri, jamaa wanalipa vizuri for info visit http://www.saut.ac.tz
 
Asante ila hapo ni kazi tu hakuna cha kupokea simu wa face book mjiandae kwa hilo japo mshahara wa ukweli
 
jamani hapa kunatetesi,kwamba shibuda akipigwa chini slaa anaenda kuchukua jimbo ikoje? hii wakuu
 
Naomba kama kuna anayejua kiasi cha mshara atuambie, maana kusema mshahara wa ukweli tu haitoshi kujua ni kiasi gani. Ningependa kujua mshahara wa assistant lecturer pamoja na lecturer.
 
Naomba kama kuna anayejua kiasi cha mshara atuambie, maana kusema mshahara wa ukweli tu haitoshi kujua ni kiasi gani. Ningependa kujua mshahara wa assistant lecturer pamoja na lecturer.
of course, sijui amount in figure bt kibongo bongo pale ndpo panapolipa zaidi
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Kuna nafasi za wahadhiri, jamaa wanalipa vizuri for info visit http://www.saut.ac.tz
mk8 Rigo,nilikuwa naomba uniwekee sifa za hizo nafas hapa nje,kama zanifaa nijiandae kuomba,nimeshindwa kudownload kwenye web yao kwan natumia cm kwa sasa na niko mbali na huduma ya intanet,
 
mk8 Rigo,nilikuwa naomba uniwekee sifa za hizo nafas hapa nje,kama zanifaa nijiandae kuomba,nimeshindwa kudownload kwenye web yao kwan natumia cm kwa sasa na niko mbali na huduma ya intanet,
hata mimi natumia simu, lakini hzo nafasi zpo kwa wingi sana ukpata muda jaribu kutembelea hiyo web yao. Au kama kuna mtu anaweza kuweka hvyo vgezo afanye hvyo
 
ST. AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA

EMPLOYMENT OPPORTUNITIES

Applications are invited for the posts of Professors, Associate Professors, Senior Lecturers, Lecturers and Assistant Lecturers in the following disciplines:-

Sociology Tourism & Hospitality
Accounting and Finance
Economics Management Laws
Geography Philosophy and Ethics Procurement and
Development Studies Engineering (Civil and Logistic Management
English/Linguistics Electrical) Mathematics
Kiswahili Medicine ICT/IT
French Agriculture and Forestry Mass Communications
Educational-foundations Vetenary
History
Banking
Entrepreneurship

Qualification Requirements:

Applicants need to be those with PhDs or are at Professorial level. Those with Masters Degrees may also be considered. .

Application details

Applications should include cover letter with information about CVs, three referees and copies of certificates or awards. They should be addressed to:

The Vice Chancellor

St. Augustine University of Tanzania
P. O. BOX 307
Mwanza-Tanzania
Email: sautmalimbe@yahoo.com

Attractive pay package is offered

Only short-listed candidates will be contacted.
 
wakuu habari zenu! hivi mshahara wa assistance lecturer kwa hapa bongo ni shilingi ngapi jamani? mwenye taarifa sahihi kuhusu mishahara kwenye vyuo vya ifm, udsm, udom, st. joseph na n.k, please anijuze wandugu!
 
kwa SAUT WANAANZIA 1.7M
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom