Emotional abuse

Nafikiri abusers wengi wao ndio wenye matatizo makubwa lkn pia kama alivyosema mdau hapo juu physical abuse ni ngumu sana kukabiliana nayo kuliko emotional abuses.

Nasema wao ndio wenye matatizo kwasababu ukifuatilia maisha yao huko nyuma walikua abused in one way or another au makuzi mabaya Unatakiwa kuwa ngangari tu kwani kuna watu wako hivyo huponda kila lifanywalo na wenzao ukishawajua watu hao ni kuwakwepa tu.

Iwapo mwenye tabia hiyo ni mwenzako wa ndoa basi si vizuri kukaa kimya tafuta jinsi ya kuistop hiyo tabia mara tu inapoanza.
 
Exactly emotion abuse do harm than physical abuse,some might be doing while knowing or without knowing that they are hurting someone.....

And it has a urge impact on someone's life it might completely transform a good person to a bad person or a bad person to a good person.....

NB: whatever we say or do has an impact on someones life....
 

Unapuuza ila mwishoni unachoka moyo nao una sehem mengine unashindwa kubeba....

Ila labda kusamehe tu mana kuna msemo unasema: forgive others not because they deserve forgiveness but because you deserve peace...[/QUOTE]

Nakusoma sana farkhina, kuna mtu nayemfahamu yupo hivi. Kuna siku nilimchana laivu nikamwambia and who the hell do u think u r kuniambia what ro say and when to say it kila saa. Do u think mimi im in ur head nifanye unavyofikiria wewe all the time. And what makes u think wewe u r right tuuu always... na wewe ujue nachukia ukifanya hivi and hivi and hivi. Na nikawa namshusha confidence kila saa. Kiufupi mtu wa hivi ni ngumu kudumu nae kama una roho ndogo maana ni vita lila saa vinginevyo atakufanya uanze kuji doubt na atakushusha confidence
 
Last edited by a moderator:
gorgeousmimi Umeleta kazi moja mzuri sana. 😛oa:

But ni ngumu kueleweka na wengi kutokana na uwepo wa yale magroup mawili (idealist/spiritual and materialist) ya watu yanayotuathiri hata namna yetu ya kufikiri.

Hope umeona kuna wadau wanasema physical abusi ni mbaya kuliko emotional. na wanasababu mzuri tu, on other hand umeona kuna baadhi ya wadau ni wahanga wa emotional abusi bila hata kujijua! hii sired ndio imewafungua.

Kwa mtazamo wangu Emotional abuse ni mbaya kuliko physical abuse due to the fact that, When you abused physically, you have been abused emotional too! Sidhani kama hii inahitaji maelezo.

Emotional Abuser wengi ni wanawake.
Hayo matani ya kukatishana tamaa hata sijawahi kukutana nayo. tamaa yangu haitokatwa na mwanamke. On other hand, natumia utani kufanya michezo iwe mifupi, Ukiamua umsilikiza mwanamke kwa kila kitu ni tatizo! Also kujibu kila swali analouliza mwanamke ni tatizo jengine. Si kila swali ni la kujibiwa, Sometimes w'ke wanapumbaza sana.

Maswali yao yanashawishi uwadanganye, wanawake mapenzi na ndoa wanayapa kipaombele sana. Ktk maisha kuna mengi ya kufanya, romantic love ni kijisehemu tu ktk maisha. Bila ya huu utani wa kutumia maneno mafupi yanayomwachia mtu maswali huko mbele ya safari (ambayo wewe unaita abuse) ingekua shida sana, coz wengine hatufurahii kudanganya.

Hiyo Couter attack/claims inatumiwa sana na w'ke, Sometimes unaisoma akili ya mwanamke kama unavyosoma ya mtoto tu. Direct sorry bila kuambatana na shambulizi ni ke wachache sana wanaotoa. Ke wanapenda sana kukumbushia kumbushia yaliopita.

Yaani hata akija kuomba samahani amekua ameshajiandaa kabisa. Ukikataa tu samahani yake anaanza kukumbushia na kulinganisha. wengine(Kitaalamu wanaitwa Figners, hakuna figner wa kiume) wanafikia kulia kabisaaaaaaa kwa kufosi uongo wake na mashambulizi.

Sitaki kuamini utani ni kumuumiza mtu kihisia.
 
Last edited by a moderator:
Ablessed

Nakubaliana na wewe mkuu....muhimu mtu ujitambue una matatizo lkn wengi wanajiona hawana tatizo ni kama lifestyle yao au wanajiona wako "real"!Kama alivyosema farkhina wanajipooza kwa mabaya yao!I believe chanzo kinarudi nyuma kwenye historia za maisha yao!
 
Last edited by a moderator:
[QUOTE lin
And it has a urge impact on someone's life it might completely transform a good person to a bad person or a bad person to a good person..[/QUOTE]

Wengi sana hawaelewi hio part wao ni kutoa lawama tu na kuzodoa!!Nitakupa mfano real,mfano the victim is being attacked all the time when he/she decides to do something for a change what do u think she/he will do?he/she will defend themselves!

And what will the abuser do?Get worse ofcourse and attack the victim more yaani amuumize zaidi na zaidi!They do not even consider the damage their causing in someones life.That can make a nice humble person become mean and rude coz of the person always tend to defend themself!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: lin
Unapuuza ila mwishoni unachoka moyo nao una sehem mengine unashindwa kubeba....

Ila labda kusamehe tu mana kuna msemo unasema: forgive others not because they deserve forgiveness but because you deserve peace...
Nimeipenda sana hio phrase yako mama!
 
Unapuuza ila mwishoni unachoka moyo nao una sehem mengine unashindwa kubeba....

Maana halisi ya kupuuza ni kutokuweka moyoni...

Unajua sisi tulio wengi tunashindwa kujua kuwa moyoni si sehemu ya kuhifadhi yaliyo mabaya bali mema...

Sasa unapobadilisha matumizi ya moyo na kuweka vitu vibaya vibaya ndio matokeo yake unaliwa na unyanyasaji wa emotions...

Ila labda kusamehe tu mana kuna msemo unasema: forgive others not because they deserve forgiveness but because you deserve peace...

Bi mkubwa kila mtu anahitaji msamaha na ukijifunza kufanya hivyo hutakaa kunyanyasika kihisia...

Samehe wengine kwa kuwa nawe wahitaji kusamehewa ukoseapo...

cc gorgeousmimi
 
Last edited by a moderator:
Nimeguswa kiasi hapo kwenye accusing blaming na unreasonable demanding....na kiasi kikubwa katika emotional distancing i see kuna vitu vinanihusu fulani hivi kiasi cha kunipa hasira
Unaona ehhh...Wengi mno ni wahanga wa hii kitu,Finding the solution of a problem is finding the source/origin of the problem....Narefer kwenye uzi wa "Good communication is the key to a successful conversation/relationship!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…