Huyu Nhimbi kweli n msomi lkn jamaa kwenye public speaking hayuko vzr,anachosha kusikiza n km hakujiandaaJamaa statements zake nyingi zinamtoka sio za moyoni kabisa. Hata alivyokuwa anaongelea swala la maridhiano unaona kabisa sio sauti yake huyu jamaa.
CCM mtandao unamtumia vibaya sana, yaani ni kama alivyofanywa Lowasa.
2030 utaona akina Januari Makamba wanarudi kwenye peak na yeye kutupwa kama toilet paper.
Kama Malaika wa Bwana anampenda Nchimbi ngeshauri Chama chake waondoe vikwazo vyote kwa upinzani.
Mpina aendelee na kampeni, TAL aachiwe na waendelee na uchaguzi. Tunachofanya CCM ni kiini macho tu.
Ila ukweli matusi tunayaoga bhana, yaani kila mahali wanapojadili Uchaguzi ni matusi tu dhidi yetu.
WaTZ wanapunguza hasira zao kwa kututukana. Mbaya sana hii!
Vipi hilo la maridhiano na lile la kuchukua wapinzani wazuri wazuri na kuwaleta upande wa Ccm (serikalini) baada ya uchanguzi, lipo kwenye ilani ya ccm 2025-2030?Jamaa statements zake nyingi zinamtoka sio za moyoni kabisa. Hata alivyokuwa anaongelea swala la maridhiano unaona kabisa sio sauti yake huyu jamaa.
CCM mtandao unamtumia vibaya sana, yaani ni kama alivyofanywa Lowasa.
2030 utaona akina Januari Makamba wanarudi kwenye peak na yeye kutupwa kama toilet paper.
Kama Malaika wa Bwana anampenda Nchimbi ngeshauri Chama chake waondoe vikwazo vyote kwa upinzani.
Mpina aendelee na kampeni, TAL aachiwe na waendelee na uchaguzi. Tunachofanya CCM ni kiini macho tu.
Ila ukweli matusi tunayaoga bhana, yaani kila mahali wanapojadili Uchaguzi ni matusi tu dhidi yetu.
WaTZ wanapunguza hasira zao kwa kututukana. Mbaya sana hii!
Kweli sio kweli?Jamaa statements zake nyingi zinamtoka sio za moyoni kabisa. Hata alivyokuwa anaongelea swala la maridhiano unaona kabisa sio sauti yake huyu jamaa.
CCM mtandao unamtumia vibaya sana, yaani ni kama alivyofanywa Lowasa.
2030 utaona akina Januari Makamba wanarudi kwenye peak na yeye kutupwa kama toilet paper.
Kama Malaika wa Bwana anampenda Nchimbi ngeshauri Chama chake waondoe vikwazo vyote kwa upinzani.
Mpina aendelee na kampeni, TAL aachiwe na waendelee na uchaguzi. Tunachofanya CCM ni kiini macho tu.
Ila ukweli matusi tunayaoga bhana, yaani kila mahali wanapojadili Uchaguzi ni matusi tu dhidi yetu.
WaTZ wanapunguza hasira zao kwa kututukana. Mbaya sana hii!
Jamaa statements zake nyingi zinamtoka sio za moyoni kabisa. Hata alivyokuwa anaongelea swala la maridhiano unaona kabisa sio sauti yake huyu jamaa.