Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka amejitokeza leo kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kuwania Ubunge wa jimbo hilo kwa mara nyingine tena.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Mwakasaka ni mbunge wa Jimbo la Tabora kwa miaka 10 mfululizo.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Mwakasaka ni mbunge wa Jimbo la Tabora kwa miaka 10 mfululizo.