Emirates Palace Hotel- Abu Dhabi UAE

Emirates Palace Hotel- Abu Dhabi UAE

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
ImageUploadedByJamiiForums1432442237.919496.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432442266.617656.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432442296.868334.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432442320.785321.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432442346.534518.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432442369.518138.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432442399.304683.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432442423.216840.jpg

The world's most expensive
hotel was built and is owned by the Abu Dhabi government.

The $3 billion hotel was opened in 2005 and managed by Kempinski hotels and resorts.

Economy Rooms starts at $300 -$700 for 2.
 
Afadhali serikali za wenzetu zinaweza hata kumiliki vitega uchumi, sisi hapa ni ufisadi kwa kwenda mbele....hao Kempinski naona hapa kwetu walishatukimbia!
 
Baada ya kuona mafuta chini ya ardhi yana kauka wakaona wawekeze kwenye utalii, real estate na transport sector. Hawa jamaa wana vision ya hatari!!
 
Abu Dhabi, bado wanayo mafuta.

Dubai ndiyo mafuta yamekauka, GDP ya mafuta ni 3% ya uzalishaji wake.

Abu Dhabi wana 95% ya mafuta yote katika UAE na baada ya miaka 150 ijayo ndiyo yataanza kukauka.

Abu Dhabi ni tajiri zaidi lakini wako conservative sana, na wao ndiyo walimwokoa Dubai iliposhindwa kulipa madeni na kumkopesha bilioni 10 dola mwaka 2009.
 
Nasikia hicho ni kiota cha .................akiendaga kutafuta wawekezaji wa Gesi/Mafuta.
''Nimesikia''
 
Abu Dhabi, bado wanayo mafuta.

Dubai ndiyo mafuta yamekauka, GDP ya mafuta ni 3% ya uzalishaji wake.

Abu Dhabi wana 95% ya mafuta yote katika UAE na baada ya miaka 150 ijayo ndiyo yataanza kukauka.

Abu Dhabi ni tajiri zaidi lakini wako conservative sana, na wao ndiyo walimwokoa Dubai iliposhindwa kulipa madeni na kumkopesha bilioni 10 dola mwaka 2009.

Kwahyo hao watu sio ndugu?
 
Kwahyo hao watu sio ndugu?

Sio ndugu wa damu. UAE ni federation. Kuna "emirates" 7 na kila moja ina mfalme wake. Hawana uhusiano zadi ya siasa na familia za kifalme kuoana. Hamna demokrasia, ni uhuru wa biashara tu. Kila kitu kimeshikwa na familia ya wafalme.

Abu Dhabi inatawaliwa na familia ya Al Nahyan, (86% ya UAE kwa ukubwa).

Dubai ipo chini ya familia ya Al Makhtoum.

Sharjah- Al Qasimi family.

Ajman- Al Nuami family.

Umm Al Qaiwain - Al Mualla family.

Ras Al Khaimah - Al Qasimi family

Fujairah - Al Sharqi family.
 
Back
Top Bottom