Wew chagua mmoja mfano Mimi alikua mchumbangu RihanaAss like that
We made you
Mocking bird
Cleaning out my closet
Monster
My name is
No love
I need a doctor
The real slim shady
Not afraid
Nilivyokuwa mdogo ukiniuliza mchumba angu nani nakutajia Eminem na Puff Dady
Hizi zote na zikubali...ila hiyo stan ina bonge la chorusStan
Mocking bird
Toy soldier
Naam wapo wengi mnoo..hao ndio mashabiki maandaziAsante sana chief,alafu nilikua sijui kama ugomvi wa Stan na mke wake ilikua pia ni sehemu ya Stan kumuiga Eminem..!
Hakika Stan alikua mwehu..!
Ila mkongwe,mashabiki aina ya Stan wapo kweli..?
Kacheki muvi ya fan utajua watu wanpenda si mchezo.Asante sana chief,alafu nilikua sijui kama ugomvi wa Stan na mke wake ilikua pia ni sehemu ya Stan kumuiga Eminem..!
Hakika Stan alikua mwehu..!
Ila mkongwe,mashabiki aina ya Stan wapo kweli..?
Yaani usithubutu kuyaingiza maisha yako kwenye hilo janga .. utajutaKwenye imani za Dini tunaambiwa tuwe Kama Stan kwa Manabii wake na mitume ,kama Yesu, Muhammad (saw) nk
You shit on me when you on your way up,I had a dream i was king
I woke up, still king
This rap game nipple is mine for the milking
Til nobody else even f@ckin feels me, til it kills me
I swear to God I'll be the f@ckin illest in this music
Eminem is arguably the best rapper alive. Rap game's Lionel Messi.
Tisha Chief...Napenda sana "Mocking bird", a very good song about family separation ,hardship na impact kwa watoto kama Haillie, Napenda "When am gone", pale ambapo matakwa ya wazazi yanakuwa against wishes za mtoto, "I need a Doctor: with Dr Dre naipiga sana pale napokumbuka watu walio nisaidia kutoka katka hatua mbalimbali za maisha.
Napenda wimbo wa "Beautiful", Em raps about yeye kutokuwa kwenye game muda mrefu na struggle anazopitia watu hawamuelewi anarap pia about his city Detroit the once largest manufacturing city in the 1950s had sasa mji umekuwa kama magofu
Nikiwa na mwanangu namuimbia "Hailie Song", the only song Eminem tried to sing na sio kurap, Back in the days shuleni nilikuwaga nawakusanya wana kisha naanza kuwashushia mistari ya "Cleaning my Closet"
Aisee ntajaza uzi peke yangu, napenda kila wimbo wa huyu kichaa, na shinda sana https://genius.com/artists/Eminem , na mara nyingi huko kinachonipelekaga ni kutafuta deep meaning ya nyimbo za Eminem,na sometimes Kanye na Jay z, na sometimes nachangia pia vile nimeelewa, Uzuri eminem yupo verified kule so sometimes watu wanaweza enda chaka kutafsir wimbo wake yeye akaurekebisha kile alicho maanisha.
I think ushabiki wangu kwa huyu jamaa ni only second after Stan, pumb**fu i even follow Hailie on Instagram https://www.instagram.com/hailiejade/?utm_source=ig_embed , yule binti ambae nadhani anashikilia record ya kuwa mtoto alieimbwa katika nyimbo nyingi zaidi duniani.
Sema na humu nako nimekutana na ma Stan wengi sana aiseee.
Team ZariAsante sana chief,alafu nilikua sijui kama ugomvi wa Stan na mke wake ilikua pia ni sehemu ya Stan kumuiga Eminem..!
Hakika Stan alikua mwehu..!
Ila mkongwe,mashabiki aina ya Stan wapo kweli..?
Si mkali kwangu ila naikubali morkingbird, slim shed sijui kama nimepatia majina, ila hiyo morkingbird ninayo ngoma hatarii hiyoKwanza niweke wazi kabisa, EMINEM ndiye mwanamuziki wa HIP HOP ninayemkubali kuliko mwanamuziki mwingine yeyote wa HIP HOP, yaani ninamkubali kiasi kwamba nikiona "list" yoyote inayohusu wanamuziki watatu (3) bora tangu muziki wa HIPHOP upate kuanzishwa, kwangu mimi hiyo "list" inakuwa ni batili kama jina la mkali EMINEM halipo katika hiyo "list". Naam kwangu mimi EMINEM ndio msanii bora kuwahi kutokea kwenye "game" ya HIP HOP (Mnisamehe sana mashabiki wa TUPAC na BIG, maana ni wazi kuwa nitakuwa nimewakera mno).
View attachment 1075251
Haya, niwarudishe kwenye lengo la "thread". Leo nikiwa natazama video mbalimbali za muziki nikakutana na video ya STAN kutoka kwa mkali wangu EMINEM akimshirikisha mwanamama DIDO kutoka Uingereza. Wimbo huu unamzungumzia mshikaji mmoja anayefahamika kama STAN (Stanley), huyo jamaa anamkubali vibaya mno msanii EMINEN, anamkubali EMINEM kiasi kwamba ilifikia hatua akawa anagombana na mke wake, jamaa alifikia hadi kubadilisha muonekano wake ili aweze kufanana na EMINEM.
Sehemu ya Video inaonesha STAN akimuandikia barua EMINEM kulalamika jinsi alivyokua akimpuuzia, STAN alikuwa anajitahidi kuhudhuria show za EMINEM ili EMINEM atambue jinsi anavyomkubali, juhudi za STAN ziligonga mwamba,kwasababu EMINEM hakuonesha kujali kabisa.
Baada ya kumaliza kuandika barua hiyo STAN anaamua kumchukua mke wake ambae alikua mjamzito na kumuingiza kwenye buti ya gari, kisha anaendesha gari mpaka darajani kisha analiingiza gari kwenye mto, hivyo kutokana kutoonesha kujali kwa EMINEM, STAN anaamua kujiua yeye pamoja na mke wake mjamzito, inashangaza eeenhe?
Kwangu mimi hii ndio video bora kuliko zote kutoka kwa mkali EMINEM.
Kutokana na huu wimbo neno "Stan" limeingizwa kwenye kamusi za lugha ya KIINGERZA likiwa na maana kama "USHABIKI ULIOPITILIZA KWA MTU MASHUHURI/MAARUFU"
Kwa wale mnaomkubali EMINEM kama mimi, taja wimbo unaokubamba kutoka kwa mkali huyu.