Emergency, need your help pls

duh kweli ukitaka kuwa rafiki wa nzi sharti uwe na kidonda
aiseeeeeeeeeee binadamu wabaya sana sana
 
Piddy angalia nawe watu wanaweza kuhisi kama unasaidiana na hao matapeli mkuu
 
Atafute ndugu zake wamsaidie as ulimwengu wa sasa kumuamini mtu baki ni issue
 
Piddy angalia nawe watu wanaweza kuhisi kama unasaidiana na hao matapeli mkuu
Mkuu huwa kitu cha msaada siogopi kuweka hadharani ili kama ninaibiwa ama mtu ana nia mbaya najua mapema..infact kilichonitisha nilipopiga namba yake aipatikani nikajua ndugu yangu yamemkuta ..anyway nimesoma link moja imeandikwa kama email iliokuja kwangu niko hoi loh
 

ninafahamu wewe ni mtu mwenye msimamo na imani kali, angalia sana kwani mara nyingi tukiamini sana tunazuia kusikia wengine wanashauri nini!!!!!!!

kama huyu mtu yupo ubalozini na ana Identity ya utanzania, atahudumiwa, atarudishwa tanzania, na atalipa gharama zote akifika tanzania. na wewe kama kweli una fikiri kwa mapana , kwanini ulete kipisi cha habari kisicho na maelezo ya kutosha , japo kueleza huyu magembe ni nani na mnahusiana vipi?? kama wewe unaemwombea msaada huna maelezo yakinifu ya huyu mtu ni nani kwako unadhani watoa msaada watatoa tu, huo msaada utapata thamani wapi??. tujifunze jamani
 
hao wezi kaka achana nao kabisa
 
mkuu mzee punch
hiyo email tunafanya nae kazi sana huyo jamaa,infact tulipona asbh tukapiga kucheki kama ni msala ya magharibi akawa apatikani...ndio nikasema labda kuna waungwana wenye kutoamsaada tatizo ajaweka full details

Inawezekama email yake imekuwa hacked na jamaa wanaitumia. Mtumie email uongee naye pitia skype.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…