Emerald Wangu Erotica Ndo Umesepa Kabisa?

Hebu mfanyie ukaguzi wa chap chap kama hana mshono atiii!!!
Hiyo fofofo ni kaputi bado haijamalizika...

Hahahahahahaha...haki ya nani...!! Sio Erickb52 jamani nipo nae hapa kalala fofofo
 
Last edited by a moderator:
Afadhali umesema...kumbe ile dawa yetu ya kuyeyusha mshono imefanya kazi eenh!! maana huyo mgonjwa ndiye alikuwa wa majaribio!!

Weee.. Erickb52 yupo vyema na muda si mrefu tumetoka ku desh desh

Hakuna mshono wala uzi,jamaa yupo vzuri
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom