Emerald Wangu Erotica Ndo Umesepa Kabisa?

SHIEKA

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
8,278
Likes
1,191
Points
280
SHIEKA

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2011
8,278 1,191 280
Katikati ya mwezi wa tano nilimlalamikia best yangu Boflo akuhimize uje home na kujitokeza JF. Boflo alisema ulikuwa unamalizia kuosha macho yako huko Bongo na ungerudi soon. Hukuja home, ila ulichokifanya ni kuingia JF
na ku-like post yangu ya malalamiko. Yaani uliifurahia sana hiyo post au?Mimi nilifikiri ungeweka post kusalimia wanachitchat lakini wapi. Ukaishia ku-like post tu! Emerald, kwa nini unaniweka pabaya hivyo?Nyumbani tangu Zuhura yule msichana wa kazi aage kwamba anaenda kwao, naye hajarudi mpaka leo. Triphona na Triphonia wananipa wakati mgumu mno; nawaacha kwa jirani nikienda kazini. Naomba ukae ukijua kwamba hali hii sitoweza kuendelea nayo kwa muda mrefu zaidi bila kuwa na 'msaidizi' Hope you know what I mean.

Kuna watu hapa JF tabia zao zilinifanya niliwashuku kuhusiana na kupotea kwako.Sio kwamba nawashtaki ila ni mawazo tu ya kawaida.Watu hao ni: Asprin. Judgement, na Bishanga.

Naendelea kutumia subira iliyobaki.
 
Last edited by a moderator:
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
20,057
Likes
11,133
Points
280
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
20,057 11,133 280
I suspect the latter.

Huyo wa kwanza siku hizi kawa kama Mtambuzi...simba mchezewa sharubu.

Huyo wa pili mwenyewe kajiiba hawezi iba mke wa mtu!!!!

Usintupie mawe...sijakutaja!!!

Na kwenye list yako waongeze: penda penda na mvunja mahusiano ya watu Erickb52 na dr. gynaecologist watu8
 
Last edited by a moderator:
SHIEKA

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
8,278
Likes
1,191
Points
280
SHIEKA

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2011
8,278 1,191 280
Asante mtu wangu Mentor kwa kunikumbusha. Sijui kwa nini nilimsahau Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Messages
15,340
Likes
89
Points
0
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2008
15,340 89 0
Katikati ya mwezi wa tano nilimlalamikia best yangu Boflo akuhimize uje home na kujitokeza JF. Boflo alisema ulikuwa unamalizia kuosha macho yako huko Bongo na ungerudi soon. Hukuja home, ila ulichokifanya ni kuingia JF
na ku-like post yangu ya malalamiko. Yaani uliifurahia sana hiyo post au?Mimi nilifikiri ungeweka post kusalimia wanachitchat lakini wapi. Ukaishia ku-like post tu! Emerald, kwa nini unaniweka pabaya hivyo?Nyumbani tangu Zuhura yule msichana wa kazi aage kwamba anaenda kwao, naye hajarudi mpaka leo. Triphona na Triphonia wananipa wakati mgumu mno; nawaacha kwa jirani nikienda kazini. Naomba ukae ukijua kwamba hali hii sitoweza kuendelea nayo kwa muda mrefu zaidi bila kuwa na 'msaidizi' Hope you know what I mean.

Kuna watu hapa JF tabia zao zilinifanya niliwashuku kuhusiana na kupotea kwako.Sio kwamba nawashtaki ila ni mawazo tu ya kawaida.Watu hao ni: Asprin. Judgement, na Bishanga.

Naendelea kutumia subira iliyobaki.

HYGEIA Una akili sana wewe!
 
Last edited by a moderator:
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,851
Likes
3,638
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,851 3,638 280
Sshhhh!!! nipo chumba cha upasuaji nafanya surgery...kuna mtu kakatwa kifanyio ndio tunakirudishia....

Na kwenye list yako waongeze: penda penda na mvunja mahusiano ya watu Erickb52 na dr. gynaecologist watu8
 
Last edited by a moderator:
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
58,205
Likes
41,122
Points
280
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
58,205 41,122 280
Katikati ya mwezi wa tano nilimlalamikia best yangu Boflo akuhimize uje home na kujitokeza JF. Boflo alisema ulikuwa unamalizia kuosha macho yako huko Bongo na ungerudi soon. Hukuja home, ila ulichokifanya ni kuingia JF
na ku-like post yangu ya malalamiko. Yaani uliifurahia sana hiyo post au?Mimi nilifikiri ungeweka post kusalimia wanachitchat lakini wapi. Ukaishia ku-like post tu! Emerald, kwa nini unaniweka pabaya hivyo?Nyumbani tangu Zuhura yule msichana wa kazi aage kwamba anaenda kwao, naye hajarudi mpaka leo. Triphona na Triphonia wananipa wakati mgumu mno; nawaacha kwa jirani nikienda kazini. Naomba ukae ukijua kwamba hali hii sitoweza kuendelea nayo kwa muda mrefu zaidi bila kuwa na 'msaidizi' Hope you know what I mean.

Kuna watu hapa JF tabia zao zilinifanya niliwashuku kuhusiana na kupotea kwako.Sio kwamba nawashtaki ila ni mawazo tu ya kawaida.Watu hao ni: Asprin. Judgement, na Bishanga.

Naendelea kutumia subira iliyobaki.
Mie wanionea bure, kwakuwa ni mimi tu nimebakia.... ni mimi tu kuwaleteeni habari!
 
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
20,057
Likes
11,133
Points
280
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
20,057 11,133 280
Mie wanionea bure, kwakuwa ni mimi tu nimebakia.... ni mimi tu kuwaleteeni habari!
Sabalheri babu Asprin...umezeeka sana siku hizi ona kina Chocs, mimisa, Lady doctor et al wanajiingilia tu humu jukwaani chupi mkononi na wanatoka salama!!!!
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
8,762
Likes
64
Points
0
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2013
8,762 64 0
Sabalheri babu Asprin...umezeeka sana siku hizi ona kina Chocs, mimisa, Lady doctor et al wanajiingilia tu humu jukwaani chupi mkononi na wanatoka salama!!!!
hahaha na nikamkagua yeye kwa usalama wake.

Sasahivi nakusubiri na wewe!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
20,057
Likes
11,133
Points
280
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
20,057 11,133 280
hahaha na nikamkagua yeye kwa usalama wake.

Sasahivi nakusubiri na wewe!!!!!
Nakungojea..maana mmezidi sana nyie wadada wa huku!!!!!:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
 
Forum statistics

Threads 1,274,224
Members 490,631
Posts 30,505,344