Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,889
Njoo kwangu mpendwa nikupe somo unalolihitaji
vipi bado yule mume wa mtu bado upo nae
Unataka nimuache aje kwako au
Mkuu naona wivu unakuganda, pole.apana mamaaaa,,,,,,basi mwache aendelee kukutumi,jua kua kumpa uroda mme wa mtu ni kumfaidisha yye kwa asilimia kubwa
apana mamaaaa,,,,,,basi mwache aendelee kukutumi,jua kua kumpa uroda mme wa mtu ni kumfaidisha yye kwa asilimia kubwa
Mkuu naona wivu unakuganda, pole.
Wenzie tunalilia wivu kimoyomoyo yeye analilia hadharani eti!!Afadhali mpendwa unihelp maana jamaa ana wivu wa mwendokasi
Wenzie tunalilia wivu kimoyomoyo yeye analilia hadharani eti!!
Hahaaa, kimoyomoyo tuu.Mmmmh... hata wewee?