Embu ona watu wanavyokufa kiboya!

Embu ona watu wanavyokufa kiboya!

Wewe ndio hueleweki umekula maharage ya wapi, kwani nani kakuambia anakimbia vita? Huko kwa Yahaya kuna vita au una kariri tu. Acha uboya fikirisha ubungo wako.
 
Jamaa ana uhakika wa kuendelea kuishi ,so ataishi vipi bila mali
 
Vita visikie kwa jirani
Na kuviandika jf pekee
Ni hatari
 
Ana akili zake hivyo ni asset atauza huko aendako.
Na hata gari atauza au aache yote kwa woga tu hata risasi bado.

Ukiondoka bila kitu ukaona mwenzio anauza vijiko utatamani urudi ukachukue hata fito
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom