Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Pichani, Baada ya kuwepo kwa tishio la kutokea vita vya kumng'oa madarakani dikteta Yahaya Jameh, baadhi ya wananchi wameanza kuyakimbia makazi yao na kuhama kwenye mji mkuu.
Kinachonikwaza ni huyu boya aliyebeba na makochi yake kama vile anahamia mtaa wa pili.
Linapotokea suala la vita, mtu anachotakiwa kuokoa ni roho yake tu! Sasa huyu wa makochi sijui naye kala maharagwe ya wapi vile!