Embe ulipendalo ni lipi?

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
Katika Pitapita zangu nimekuta watu wakibishana, ebwana eee acha embe la kibada Kiboko mtu wangu, mmoja akadakia hilo cha mtoto wewe nenda Kahama huko embe la kujidondokea mwanangu ukionja huachi, mwingine kasema hiiiiiiiiiiii Hamjaenda Ntwara nyie kula kila aina ya embe dodo, embe sindano na kibao, Kaja jamaa mwingine huyu alionekana Shomile, nyiye nendeni Bukoba maembe dodo ya kumwaga....swali je, wewe unapenda embe gani? Lile la Kibada(Karibu na Mjini), La Kahama chapa ng'ombe, Kwa Nshomile wazee wa Katerero au huko Ntwara Kumnyima Ntu dhambi?
 
Hizi ni embe za kawaida ama vijana mko na lugha zenu za kibitozi?

Baba Mchungaji ni embe kama embe, Bolibo ulishawahi lila wewe? Muulize Rungu hapo, hilo kiboko ya yote ila wasifu wake mie siujui atiiiiiiiiiiiiii
 
Katika Pitapita zangu nimekuta watu wakibishana, ebwana eee acha embe la kibada Kiboko mtu wangu, mmoja akadakia hilo cha mtoto wewe nenda Kahama huko embe la kujidondokea mwanangu ukionja huachi, mwingine kasema hiiiiiiiiiiii Hamjaenda Ntwara nyie kula kila aina ya embe dodo, embe sindano na kibao, Kaja jamaa mwingine huyu alionekana Shomile, nyiye nendeni Bukoba maembe dodo ya kumwaga....swali je, wewe unapenda embe gani? Lile la Kibada(Karibu na Mjini), La Kahama chapa ng'ombe, Kwa Nshomile wazee wa Katerero au huko Ntwara Kumnyima Ntu dhambi?

Nenda zenj mitaa ya tunguu na kundelea mkoa wa kusini kuna embe zinaitwa mbichi tamu, yaani ni mbichi halafu tamu vibaya, umenipata kijana
 
maembe maembe au jamani mwanicha huku huku niliko hamnichukuiii??????? kama maembe maembe na mi pia ntachangia,,,,ni membe jamani?
 
Nenda zenj mitaa ya tunguu na kundelea mkoa wa kusini kuna embe zinaitwa mbichi tamu, yaani ni mbichi halafu tamu vibaya, umenipata kijana

Ya Zenj mkuu unatungua mwenyewe au yamelala chini tayari yametunguliwa?mie nataka la kuangua mwenyewe
 
Back
Top Bottom