email yangu imechakachuliwa wamebadili na password | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

email yangu imechakachuliwa wamebadili na password

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by elimukwanza, Dec 29, 2010.

 1. e

  elimukwanza Senior Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wana IT naomba mnisaidie nifanyeje email yangu imeingiliwa na watu na wanatuma email kuwa nimepata ajali wanitumie fedha kwenye e-mail zilizo kwenye inbox yangu.na siwezi ku access tena maana na password wamebadili nifanyeje?email ni yahoo.
   
 2. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  rahisi!
  Fungua mtandao wa yahoo, nenda help utakuta kuna form ya kuwasiliana na yahoo. Tuma malalamiko yako nao watakusaidia. Haitachukua muda mrefu sana. All the best na Mungu akusaide. For now tumia akaunti nyingine kuwaonya watu walio ktk phone book yako na next time tumia mail client kama thunderbird/evolution badala ya web based.
   
 3. e

  elimukwanza Senior Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ahsante ndugu yangu lakini mbona sipati
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,937
  Trophy Points: 280
  fungua nyingie kama vipi!! e mail sio inshu kivile banaaa unaweza kuwa nazo hata mia
   
 5. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mhhhh ?????????????????
   
 6. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 908
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Sidhani kama unaweza kulicover e mail ya zamani,we kuwa mpole fungua mpya kama ulikuwa na data za muhimu umepoteza,

  Pole na karibu katika Teknlojia ya habari na mawasilano
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,937
  Trophy Points: 280
  whats your problem?
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  I can help you to recover your email... Contact me via PM
   
 9. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Hallo unaweza pata email yako kama unakumbuka mambo yafuatayo .

  1. Alternative email uliyo tumia wakati unafungua account.
  2. Jibu la swali la siri ulilo weka siku unafungua account.

  kWA MSAADA ZAIDI VIA PM
   
 10. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 11. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mwageni ujuzi hapa na siye tufaidike bwana!
   
 12. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  https://edit.yahoo.com/forgotroot/
  Nenda option ya "My account may have been compromised" kama hauna data za kujaza humo basi sahau account yako. Badidisha password za sehemu zote nyingine mtandaoni kama unatumia password hiyo hiyo.
   
Loading...