gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,720 May 8, 2014 #2 af sjui kwann huwa wanapenda kuwa na hati mbaya..........nafkir hati mbaya haimfanyi mtu awe dr bingwa hata kidogo. thanks to tech kwamba vipimo vinachapwa so mtu unaweza kusoma ukaelewa nini kimeandikwa
af sjui kwann huwa wanapenda kuwa na hati mbaya..........nafkir hati mbaya haimfanyi mtu awe dr bingwa hata kidogo. thanks to tech kwamba vipimo vinachapwa so mtu unaweza kusoma ukaelewa nini kimeandikwa
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 May 9, 2014 #3 Kuna dokta aliwahi kunitibia, yana anamwandiko mzuri kama pipi
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 May 9, 2014 #4 Mkuu ni kawaida ya madoctor kucharaza mandiko na siyo kama sisi shule zetu maana mandiko yetu huwa kama mguu wa kuku hata walimu wetu huwa hawai imaend mandiko wao ni kuwona mradi gurudumu lina enda basi wao ni sawatu
Mkuu ni kawaida ya madoctor kucharaza mandiko na siyo kama sisi shule zetu maana mandiko yetu huwa kama mguu wa kuku hata walimu wetu huwa hawai imaend mandiko wao ni kuwona mradi gurudumu lina enda basi wao ni sawatu
nkasoukumu JF-Expert Member Joined Nov 27, 2010 Posts 903 Reaction score 429 May 9, 2014 #5 Bad handwriting? Keep this in mind: more intelligent people tend to think faster, and as a result their handwriting is more sloppy. @ gfsonwin
Bad handwriting? Keep this in mind: more intelligent people tend to think faster, and as a result their handwriting is more sloppy. @ gfsonwin