martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,464
Elon hana mke,na ana watoto 10.Habari JF
HUYU NI MTU NA NUSU, Yeah! Unaweza kusema hivyo.
Elon Reeve Musk mapema wiki hii ameteka vichwa vya habari duniani baada ya kununua mtandao pendwa duniani( Twitter ) kwa dau la $44B, sawa na Trilioni 102.6 kwa pesa za kibongo.
Anamshinda tajiri yetu bwana Mo ina maana au?Habari JF
Huyu ni mtu na nusu, Yeah! Unaweza kusema hivyo. Elon Reeve Musk mapema wiki hii ameteka vichwa vya habari duniani baada ya kununua mtandao pendwa duniani( Twitter ) kwa dau la $44B, sawa na Trilioni 102.6 kwa pesa za kibongo.
Bilionea huyo namba moja duniani kutokana na takwimu za Forbes na Bloomberg, anakadiriwa kuwa na utajiri (net worth) wa $244B. Hii ina maana dili hilo la ununuzi wa Twitter limekunja takribani asilimia 18 ya utajiri wa Musk.
wa matumizi ya bangi, Na ni bilionea pekee alieweza kukuza utajiri wake kutoka $1B mpaka $244B ndani ya kipindi cha miaka 10.
[emoji1753]Elon hana mke,na ana watoto 10.
Ameoa mara mbili na kuachika, na pia ana watoto 10 kwa wake wawili tofautiJe ana mke??
Cha kushangaza anamponda baba yake kuwa na wake na watoto wengi.Elon hana mke,na ana watoto 10.
Huyo akili zake anazijua mwenyewe.Cha kushangaza anamponda baba yake kuwa na wake na watoto wengi.
Inawezekana huyu jamaa ni MsukumaElon hana mke,na ana watoto 10.
Kwa hela hizo unahitaji mke wa nini? Una hela upangiwe utakula nini? Una hela ununiwe siku tatu? Una hela unyimwe unyumba? Una hela usipate mwanya wa kuongea na MTU yoyote wa jinsia ya kike hata Kama Ni dada yako?Je ana mke??
Suala sio baba kuwa na watoto wengi suala ni je unaweza kutoa huduma kwa idadi ya watoto uliozaa!!??Cha kushangaza anamponda baba yake kuwa na wake na watoto wengi.
Aliekuambia baba yake alishindwa kutoa huduma ni nani?Suala sio baba kuwa na watoto wengi suala ni je unaweza kutoa huduma kwa idadi ya watoto uliozaa!!??
Yaani ukiangalia mambo anayofanya saa nyingine unajiuliza masqali hupati jibu.Huyo akili zake anazijua mwenyewe.
Katoka South Africa karibu na mswati hakuna cha ajabuInawezekana huyu jamaa ni Msukuma
Duh! Ina maana elon sio self-made billionaire !!??Aliekuambia baba yake alishindwa kutoa huduma ni nani?
Huyu jamaa sio self made billionaire; baba take ana mchango mkubwa kwenye mafanikio yake.
Majibu yamenilainisha.Kwa hela hizo unahitaji mke wa nini? Una hela upangiwe utakula nini? Una hela ununiwe siku tatu? Una hela unyimwe unyumba? Una hela usipate mwanya wa kuongea na MTU yoyote wa jinsia ya kike hata Kama Ni dada yako?
Una hela upangiwe nguo za kuvaa?
Usituone sisi tusio na hela tumenyamaza, ukweli ni kwamba TUNAPITIA
Baba yake alikuwa ni kati ya matajiri huko South Africa; walikuwa wanamiliki mgodi was zumarid huko Zambia.Duh! Ina maana elon sio self-made billionaire !!??
Asante mkuu
Hizi ndo athari za kucomment kabla ya kuswaki asubuh asubuhi!!Baba yake alikuwa ni kati ya matajiri huko South Africa; walikuwa wanamiliki mgodi was zumarid huko Zambia.
Wakati anaanza biashara iliyomfikisha hapo inasemekana baba yake alimoa mtaji was $28,000 kati ya mtaji $47,000 zilizokuwa zinagitajika kuanza