๐—˜๐—น๐—ผ๐—ป ๐—บ๐˜‚๐˜€๐—ธ ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐— ๐—ท๐—ถ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—ท๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜„๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ฆ๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฟ๐˜€

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20250503_202850_0000.png

๐ŸŒ Tajiri Elon musk anasema kama Kuna mtu anafikiri haiwezekani kwenda kuishi kwenye Sayari ya Mars shauri yao lakini lazima lengo litimie twende tukatengeneze makazi huko.

2_20250503_202850_0001.png

๐Ÿ’ก ๐™€๐™ก๐™ค๐™ฃ ๐™ข๐™ช๐™จ๐™  ๐™–๐™ฃ๐™–๐™–๐™ข๐™ž๐™ฃ๐™ž ๐™ ๐™–๐™ข๐™ฅ๐™ช๐™ฃ๐™ž ๐™ฎ๐™–๐™ ๐™š ๐™ฎ๐™– ๐™Ž๐™ฅ๐™–๐™˜๐™š๐™“ ๐™ž๐™ฉ๐™–๐™ฌ๐™š๐™ฏ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฌ๐™–๐™ฅ๐™š๐™ก๐™š๐™ ๐™– ๐™’๐™–๐™ฃ๐™–๐™™๐™–๐™ข๐™ช kwenda kuishi kwenye Sayari ya Mars ndani ya miaka 4 kuanzia sasa, na kuongezea Kwa kusema kuwa wataweza kujenga miji inayojitegemea Kuna kazi muhimu.

โš™๏ธ Kupitia mahojiano ya hivi Karibu ya podcast aliyofanya na Seneta Ted Cruz na Ben Ferguson, Elon Musk Aliweza kusema:

" Kitu Cha muhimu zaidi ni kuweza kujenga Jiji la kisasa la kujitegemea kwenye Sayari ya Mars haraka iwezekanavyo.

3_20250503_202850_0002.png

Na muhimu zaidi watu watakua wanaishi huko huku Jiji linaendelea kukua, kuendelea kufanikiwa na kufikia mtu kuweza kufanya safari ya Mars na Duniani kama unatoka New York city kwenye Ufaransa".

Musk anasema inaweza chukua miaka 20 TU kuunda Koroni kwenye Sayari ya Mars litakua na uwezo wa kuwahudumia watu zaidi ya milioni 20 bila kutegemea msaada kutoka Duniani.

Alisema lengo ni kuweza kupunguza zile changamoto za kidunia na Majanga ya kidunia miaka ijayo.

images (46).jpeg

Shida kubwa iliyopo kwenye Sayari ya Mars ni hali ya Hewa baridi balaa yani baridi Kali hewa nyembamba, haina angahewa inayoweza kupumua, na rasilimali chache.

Anasema kuanzia maji , chakula, Makazi, zana hata Hewa itaweza kuundwa huko huko kwaiyo musk anasema tutaweza kujenga viwanda vya Dunia kwenye Sayari nyingine.

images (45).jpeg

Je unafikiri nini Tajiri Elon musk anaota au tutaweza kuishi kwenye Sayari ya Mars miaka minne ijayo ??
 
Attachments

  • 1_20250503_202850_0000.png
    1_20250503_202850_0000.png
    902.2 KB · Views: 21
Hakuna kitu kama hicho.
Tusidanganyane hapa.
Yaani maisha tu ya ndani ya sayari ya dunia (ambapo hewa, maji, hali ya hewa, nishati unavipata bureee tena kiasili kabisa) bado yanamtoa kamasi mnoo, huko sayari ya Mars atawezaje kutoboa?

Elon Musk yuko overrated sana kwenye suala la akili na teknologia.
Ukifuatilia kwa karibu utagundua jamaa kiakili ni average tu, hana ugenius wowote, sana sana ni muongo, mjanja mjanja na mwizi.
 
View attachment 3324051

๐ŸŒ Tajiri Elon musk anasema kama Kuna mtu anafikiri haiwezekani kwenda kuishi kwenye Sayari ya Mars shauri yao lakini lazima lengo litimie twende tukatengeneze makazi huko.

View attachment 3324052

๐Ÿ’ก ๐™€๐™ก๐™ค๐™ฃ ๐™ข๐™ช๐™จ๐™  ๐™–๐™ฃ๐™–๐™–๐™ข๐™ž๐™ฃ๐™ž ๐™ ๐™–๐™ข๐™ฅ๐™ช๐™ฃ๐™ž ๐™ฎ๐™–๐™ ๐™š ๐™ฎ๐™– ๐™Ž๐™ฅ๐™–๐™˜๐™š๐™“ ๐™ž๐™ฉ๐™–๐™ฌ๐™š๐™ฏ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฌ๐™–๐™ฅ๐™š๐™ก๐™š๐™ ๐™– ๐™’๐™–๐™ฃ๐™–๐™™๐™–๐™ข๐™ช kwenda kuishi kwenye Sayari ya Mars ndani ya miaka 4 kuanzia sasa, na kuongezea Kwa kusema kuwa wataweza kujenga miji inayojitegemea Kuna kazi muhimu.

โš™๏ธ Kupitia mahojiano ya hivi Karibu ya podcast aliyofanya na Seneta Ted Cruz na Ben Ferguson, Elon Musk Aliweza kusema:

" Kitu Cha muhimu zaidi ni kuweza kujenga Jiji la kisasa la kujitegemea kwenye Sayari ya Mars haraka iwezekanavyo.

View attachment 3324053

Na muhimu zaidi watu watakua wanaishi huko huku Jiji linaendelea kukua, kuendelea kufanikiwa na kufikia mtu kuweza kufanya safari ya Mars na Duniani kama unatoka New York city kwenye Ufaransa".

Musk anasema inaweza chukua miaka 20 TU kuunda Koroni kwenye Sayari ya Mars litakua na uwezo wa kuwahudumia watu zaidi ya milioni 20 bila kutegemea msaada kutoka Duniani.

Alisema lengo ni kuweza kupunguza zile changamoto za kidunia na Majanga ya kidunia miaka ijayo.

View attachment 3324054

Shida kubwa iliyopo kwenye Sayari ya Mars ni hali ya Hewa baridi balaa yani baridi Kali hewa nyembamba, haina angahewa inayoweza kupumua, na rasilimali chache.

Anasema kuanzia maji , chakula, Makazi, zana hata Hewa itaweza kuundwa huko huko kwaiyo musk anasema tutaweza kujenga viwanda vya Dunia kwenye Sayari nyingine.

View attachment 3324055

Je unafikiri nini Tajiri Elon musk anaota au tutaweza kuishi kwenye Sayari ya Mars miaka minne ijayo ??
Hana uwezo huo. Telsa imemshinda ndio makazi ya Mars atayaweza? Ukitaka kujua kuwa huyu jamaa ni overrated angalia namna ambavyo Tump aliingia mkenge na kudhani jamaa ni smart na atamsaidia kwenye serikali yake. By now, amegundua jamaa ni mhuni fulani na hana maajabu zaidi anaona kuwa nae karibu ni kama kabeba gunia la misumari.
 
Inawezekana kwenda kuishi sayari nyingine lakini ni miaka mingi sana ijayo, labda hata miaka 50 ijayo
 
Hata iwe miaka 700 ijayo haiwezekani binadamu kwenda kuishi huko.
Sayari zingine zote zitaendelea kutumika katika utafiti na utalii tu.

Kwanini nasema hivyo?
Hapa katika sayari ya dunia tu, kuna maeneo mengi na makubwa sana ambayo yameshindikana binadamu kuishi moja kwa moja japokuwa yana mazingira ya kiasili ya uhai kwa 100% (hewa, nishati, maji, anga) sembuse huko Mars ambako hakuna dalili zozote za uwepo uhai kiasili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom