Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,124 Reaction score 114,170 Apr 11, 2024 #21 Waterbender said: Hizi AI wawe nazo makini isije yakatukuta ya kwenye movie Click to expand... π actor yupo
Waterbender said: Hizi AI wawe nazo makini isije yakatukuta ya kwenye movie Click to expand... π actor yupo
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,124 Reaction score 114,170 Apr 11, 2024 #22 Ila huyu jamaa ana IQ kubwa sana.
Analog JF-Expert Member Joined Apr 4, 2024 Posts 335 Reaction score 631 Apr 11, 2024 #23 mongoli said: Jamaa na mkubali sana japo mtu mwenye mpunga mrefu zaidi ni Bernard tajiri wa uko France.. Click to expand... Bernard ndo nan ndo mara ya kwanza namsikia
mongoli said: Jamaa na mkubali sana japo mtu mwenye mpunga mrefu zaidi ni Bernard tajiri wa uko France.. Click to expand... Bernard ndo nan ndo mara ya kwanza namsikia
Analog JF-Expert Member Joined Apr 4, 2024 Posts 335 Reaction score 631 Apr 11, 2024 #24 Half american said: Ila huyu jamaa ana IQ kubwa sana. Click to expand... Nina hofu huenda hvi vitu vikawa na madhara hapo baadae
Half american said: Ila huyu jamaa ana IQ kubwa sana. Click to expand... Nina hofu huenda hvi vitu vikawa na madhara hapo baadae
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,124 Reaction score 114,170 Apr 11, 2024 #25 Analog said: Nina hofu huenda hvi vitu vikawa na madhara hapo baadae Click to expand... Niliwahi kuhofia hilo pia, huenda baadae kukaibuka vita baridi kati ya robots na human.
Analog said: Nina hofu huenda hvi vitu vikawa na madhara hapo baadae Click to expand... Niliwahi kuhofia hilo pia, huenda baadae kukaibuka vita baridi kati ya robots na human.
Analog JF-Expert Member Joined Apr 4, 2024 Posts 335 Reaction score 631 Apr 11, 2024 #26 Half american said: Niliwahi kuhofia hilo pia, huenda baadae kukaibuka vita baridi kati ya robots na human. Click to expand... Aisee itakuwa ni hatari mno ikifikha hvyo
Half american said: Niliwahi kuhofia hilo pia, huenda baadae kukaibuka vita baridi kati ya robots na human. Click to expand... Aisee itakuwa ni hatari mno ikifikha hvyo
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,124 Reaction score 114,170 Apr 11, 2024 #27 Analog said: Aisee itakuwa ni hatari mno ikifikha hvyo Click to expand... Hatari sana ila tutawazidi mbinu si tumevidelop wanadam.
Analog said: Aisee itakuwa ni hatari mno ikifikha hvyo Click to expand... Hatari sana ila tutawazidi mbinu si tumevidelop wanadam.
Rabonn JF-Expert Member Joined Nov 7, 2018 Posts 5,788 Reaction score 11,185 Apr 11, 2024 #28 Accumen Mo said: Mtu akipandikizwa hiyo anaweza kuongea lugha yoyote ile ,sasa mtu akiwa na mfumo huo anaweza kutafuta material kama computer. Mtu huyo akiingia kweny chumba cha mtihani itakuwaje!?Kiufupi hata mitihani haitakuwa ishu tena Click to expand... Kwakifupi hatakuwa mtu tena
Accumen Mo said: Mtu akipandikizwa hiyo anaweza kuongea lugha yoyote ile ,sasa mtu akiwa na mfumo huo anaweza kutafuta material kama computer. Mtu huyo akiingia kweny chumba cha mtihani itakuwaje!?Kiufupi hata mitihani haitakuwa ishu tena Click to expand... Kwakifupi hatakuwa mtu tena
mongoli JF-Expert Member Joined Feb 25, 2024 Posts 734 Reaction score 1,742 Apr 11, 2024 #29 Analog said: Bernard ndo nan ndo mara ya kwanza namsikia Click to expand... Bernard Arnault Huyu ni mfaransa CEO wa LVMH. Huyu ndo tajiri number moja duniani
Analog said: Bernard ndo nan ndo mara ya kwanza namsikia Click to expand... Bernard Arnault Huyu ni mfaransa CEO wa LVMH. Huyu ndo tajiri number moja duniani
t blj JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 7,149 Reaction score 17,046 Apr 11, 2024 #30 Mzee wa kupambania said: Ni namba 2 kwa sasa Namba 1 ni Benard Anault Click to expand... Anafanya biashara gani?
Mzee wa kupambania said: Ni namba 2 kwa sasa Namba 1 ni Benard Anault Click to expand... Anafanya biashara gani?