Ngereza ally
Member
- Mar 23, 2017
- 40
- 4
[emoji23][emoji23][emoji23] kabisa mkuu, huyu bwana aeleze hapa ili ukivutiwa ujiunge....Kwa nini usielezee humu....au ndio unataka tuingizane mjini sasa
Ukinifata inbox ndio najua uposerious kiongoz[emoji23][emoji23][emoji23] kabisa mkuu, huyu bwana aeleze hapa ili ukivutiwa ujiunge....
Kama ni utapeli, serikali hii ingeruhusu kiongoz?Hawa majamaa ni matapeli kinoma. Dont try kabisa... Naijua sana hii kitu na hata mwazikishi wake Deo Mbassa namjua sana. Ni ujanja ujanja
Kwani DECI ilioperate kwa muda gani mpaka walipo shtukiwa?Kama ni utapeli, serikali hii ingeruhusu kiongoz?
Hii sio kama deci, na mwanzilishi wa deci sio mtanzania [emoji6]Kwani DECI ilioperate kwa muda gani mpaka walipo shtukiwa?
Well said... Katika awamu hii ya Magu watafikiri watapata pesa bure. Neverfanyeni kazi Hamna pesa za bure
Kwani Deo Mbassa ni Mtqnzania?Hii sio kama deci, na mwanzilishi wa deci sio mtanzania [emoji6]
Pesa za bure Wewe uliziona wapi hat???fanyeni kazi Hamna pesa za bure
Hakuna pesa za bure,labda upewe na baba ako ,but hii no fursa na hakuna anaelazimishwa jaman[emoji12]Well said... Katika awamu hii ya Magu watafikiri watapata pesa bure. Never
Kumbe???Kwani Deo Mbassa ni Mtqnzania?
Hahahaha ushapanic baada ya kujua utapeli wenu umeanikwa.... Fanyeni kazi, awamu hii huwezi pata pesa kwa ujanja ujanja....Hakuna pesa za bure,labda upewe na baba ako ,but hii no fursa na hakuna anaelazimishwa jaman[emoji12]
Hapana kaka,nimeuliza_ Deo mbasa ndio no mtanzania Wewe ulijua in mzaliwa wa wap?[emoji23]Hahahaha ushapanic baada ya kujua utapeli wenu umeanikwa.... Fanyeni kazi, awamu hii huwezi pata pesa kwa ujanja ujanja....
Exactly!Elekeza humu humu