Elly Kingu utaificha wapi sura yako?

Elly Kingu utaificha wapi sura yako?

Kaka yangu wakati wafanyakazi wanalia na kikokotoo wewe ulikuja na hoja zako za kutetea ugali wako. Rejea

Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe! - JamiiForums

Wakati wewe ukijua kuwa unachukua mafao yako asilimia mia wewe ukakurupuka kuja kutetea watumishi kupunjwa mafao yao na ukapinga vikali kuwepo kwa fao la kujitoa kwa madai kuwa fao hilo linarudisha nyuma juhudi za Raisi kwenye Viwanda

Sasa leo kweupe umeumbuliwa na Raisi Magufuli, ifike mahali wabunge muache njaa na kujisahau, umeshashiba nnje una v8 kali na jumba la kifahari mixer shopping za Dubai, tayari ushasahau ulipotoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wasikilize wabunge wa ccm bunge lijalo ndio utaduwaa wanavyounga mkono utenguzi wa kikokotoo na Kisaka!
 
Aliijua movie nzima ndio maana alitucheka wastaafu

Sent using Jamii Forums mobile app

Amesahau kuwa Rais Dr Magufuli ni kivuli cha Mwl Nyerere, alidhani since he is an MP kula ingekuwa kama za awamu ya tatu na nne, He should know that Magufuli is the “RE-INCARNATION” of Mwl Nyerere! More is yet to be seen! Hakuna madili tena, hakuna kofia mbili, hakuna safari za kwenda kufanya mikutano ya bodi Dubai, Paris wala London!hakuna pakuchota pesa ya dezo! Ni mbaya kupenda kufanyia wenzio kitu ambacho wewe mwenyewe hupendi kufanyiwa(said by President Magufuli)! Period.
 
Back
Top Bottom