Elly Kingu utaificha wapi sura yako?

Elly Kingu utaificha wapi sura yako?

Kaka yangu wakati wafanyakazi wanalia na kikokotoo wewe ulikuja na hoja zako za kutetea ugali wako. Rejea

Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe! - JamiiForums

Wakati wewe ukijua kuwa unachukua mafao yako asilimia mia wewe ukakurupuka kuja kutetea watumishi kupunjwa mafao yao na ukapinga vikali kuwepo kwa fao la kujitoa kwa madai kuwa fao hilo linarudisha nyuma juhudi za Raisi kwenye Viwanda

Sasa leo kweupe umeumbuliwa na Raisi Magufuli, ifike mahali wabunge muache njaa na kujisahau, umeshashiba nnje una v8 kali na jumba la kifahari mixer shopping za Dubai, tayari ushasahau ulipotoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uyu kijana sio bure, lazima atakuwa ana lahana hasa toka kwa wazazi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka yangu wakati wafanyakazi wanalia na kikokotoo wewe ulikuja na hoja zako za kutetea ugali wako. Rejea

Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe! - JamiiForums

Wakati wewe ukijua kuwa unachukua mafao yako asilimia mia wewe ukakurupuka kuja kutetea watumishi kupunjwa mafao yao na ukapinga vikali kuwepo kwa fao la kujitoa kwa madai kuwa fao hilo linarudisha nyuma juhudi za Raisi kwenye Viwanda

Sasa leo kweupe umeumbuliwa na Raisi Magufuli, ifike mahali wabunge muache njaa na kujisahau, umeshashiba nnje una v8 kali na jumba la kifahari mixer shopping za Dubai, tayari ushasahau ulipotoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Elibariki Kingu nilishamdharau siku nyingi sana toka aibe pesa igunga na pia kelewa na El baadae akamgeuka. Yeye ni kujipendekeza tu always
 
Huyu Kingu aendelee na umalaya wake wa kupora mademu za watu kama alivyompora Mc pilipili demu wake(Miss Shinyanga), huku atuachie wenyewe mawazo huru,tunatoa mawazo kwa uhuru na kujiamini kwa kujali maslahi mapana ya taifa. Hatuna unafiki wala njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka yangu wakati wafanyakazi wanalia na kikokotoo wewe ulikuja na hoja zako za kutetea ugali wako. Rejea

Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe! - JamiiForums

Wakati wewe ukijua kuwa unachukua mafao yako asilimia mia wewe ukakurupuka kuja kutetea watumishi kupunjwa mafao yao na ukapinga vikali kuwepo kwa fao la kujitoa kwa madai kuwa fao hilo linarudisha nyuma juhudi za Raisi kwenye Viwanda

Sasa leo kweupe umeumbuliwa na Raisi Magufuli, ifike mahali wabunge muache njaa na kujisahau, umeshashiba nnje una v8 kali na jumba la kifahari mixer shopping za Dubai, tayari ushasahau ulipotoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Saddest!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwingine huyu
IMG-20181229-WA0017.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom