M Mabel JF-Expert Member Joined Sep 1, 2010 Posts 1,290 Reaction score 717 Feb 2, 2011 Thread starter #21 The Boss said: kabisa husna.... Ukiona kidume kinajiita jina la kike si mchezo....kimezidiwa... Click to expand... Hah hah kushirikishwa katika process ya kufa kwako si mchezo!
The Boss said: kabisa husna.... Ukiona kidume kinajiita jina la kike si mchezo....kimezidiwa... Click to expand... Hah hah kushirikishwa katika process ya kufa kwako si mchezo!
Julz Senior Member Joined Nov 10, 2010 Posts 107 Reaction score 22 Feb 2, 2011 #22 boma2000 said: hah hah hah!!! ina maana jamaa ni mse'nge, duuu mkewe alikuwa anaishi nae vipi Click to expand... Kuna watu ni wagumu kuelewa jokes.........
boma2000 said: hah hah hah!!! ina maana jamaa ni mse'nge, duuu mkewe alikuwa anaishi nae vipi Click to expand... Kuna watu ni wagumu kuelewa jokes.........
Eng. Smasher JF-Expert Member Joined Nov 13, 2010 Posts 745 Reaction score 23 Feb 2, 2011 #23 Wasi wasi ndio akili yenyewe.
M Mabel JF-Expert Member Joined Sep 1, 2010 Posts 1,290 Reaction score 717 Feb 2, 2011 Thread starter #24 Eng. Smasher said: Wasi wasi ndio akili yenyewe. Click to expand... Hah hah! Yes Eng, ukishakuwa na wasiwasi lazima utachukua tahadhali ili kupusha lisilostahili kutokea!
Eng. Smasher said: Wasi wasi ndio akili yenyewe. Click to expand... Hah hah! Yes Eng, ukishakuwa na wasiwasi lazima utachukua tahadhali ili kupusha lisilostahili kutokea!
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 293 Feb 2, 2011 #25 yan hapo kachagua kuolewa ucfanye mzaha na kifo kabla ya wakati
Michelle JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,631 Reaction score 3,543 Feb 2, 2011 #26 :twitch::twitch::twitch::laugh::laugh::laugh::first:
M Mabel JF-Expert Member Joined Sep 1, 2010 Posts 1,290 Reaction score 717 Feb 2, 2011 Thread starter #27 drphone said: yan hapo kachagua kuolewa ucfanye mzaha na kifo kabla ya wakati Click to expand... Mbaya zaidi unakiona kinakuja, lazima uwe Elizabeth.
drphone said: yan hapo kachagua kuolewa ucfanye mzaha na kifo kabla ya wakati Click to expand... Mbaya zaidi unakiona kinakuja, lazima uwe Elizabeth.
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,152 Reaction score 9,268 Feb 3, 2011 #28 hahahHA lol kuna watu wamebarikiwa na jokes lol sante sana dear