Elizabeth wa DW anatuchafua kimataifa

Elizabeth wa DW anatuchafua kimataifa

Nimekua msikilizaji mzuri wa habari za DW ila huyu mwandishi wa habari amekua akituchafua kimataifa TANZANIA.

Leo kandaa makala iliyojaa uzushi na wongo mkubwa juuh ya mwenendo wa corona Tanzania,kahoji madakitari bahazi nakuja na hitimisho baya la kutuchafua kimataifa,mfano Kuna madakitari ambao wamezungumza wamekua wakijinunulia barakoa kwa kujichanga kwa vikundi hii SI mbaya ila yeye kagongelea msumari kua serikali kushindwa kusambaza vifaa vya kutisha Jambo ambalo si kweli,pia Kuna badhi ya wahojiwa wamediriki nao kutuchafua kwakusema wagonjwa Ni wengi hii haijakaa sawa kwani wanaopaswa kutoa tarifa Ni wizara ya afya SI vingine.

Rai yangu watanzania tupuzie huu uzushi wa mabeberu.na hawa wahojiwa vibaraka wachunguzwe

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
MATAGA Mmechanganyikiwa Chato regime itawaumiza sana,
Leo kigwa alikuwa anashngilia watalii wawiki wametua nchini picha kaokota tu mtandaoni.
Plane tracker hakuna Ndege iliyokuja tz.
Yani wote mmedata
 
Nimekua msikilizaji mzuri wa habari za DW ila huyu mwandishi wa habari amekua akituchafua kimataifa TANZANIA.

Leo kandaa makala iliyojaa uzushi na wongo mkubwa juuh ya mwenendo wa corona Tanzania,kahoji madakitari bahazi nakuja na hitimisho baya la kutuchafua kimataifa,mfano Kuna madakitari ambao wamezungumza wamekua wakijinunulia barakoa kwa kujichanga kwa vikundi hii SI mbaya ila yeye kagongelea msumari kua serikali kushindwa kusambaza vifaa vya kutisha Jambo ambalo si kweli,pia Kuna badhi ya wahojiwa wamediriki nao kutuchafua kwakusema wagonjwa Ni wengi hii haijakaa sawa kwani wanaopaswa kutoa tarifa Ni wizara ya afya SI vingine.

Rai yangu watanzania tupuzie huu uzushi wa mabeberu.na hawa wahojiwa vibaraka wachunguzwe

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Hakuna lolote la kumtuhumu nalo hapo bahati nzuri mwenyewe nimeisikia hiyo taarifa yake mchana saa Saba leo,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inachekesha na kusikitisha ni kama umempeleka mtoto shule kama Feza halafu ukimuuliza ripoti ya matokeo, anachomoa kikaratasi mfukoni anakutajia matokeo ya masomo machache "Kiswahili ilikuwa bado maksi kumi nipate A, Jiografia bado maksi nane nipate B lakini naendelea vizuri"
 
The problem of Tanzania we don't stand as one nation! Kuna watu wanaiongelea vibaya nchi nje as if wao ni warundi!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbuka kuwa mabalozi na watumishi wao % kubwa huwa ni nusanusa hivyo wanapoandika kitu sio kwamba wameambiwa bali wanakuwaga na kaushahidi angalau kidogo
 
Inachekesha na kusikitisha ni kama umempeleka mtoto shule kama Feza halafu ukimuuliza ripoti ya matokeo, anachomoa kikaratasi mfukoni anakutajia matokeo ya masomo machache "Kiswahili ilikuwa bado maksi kumi nipate A, Jiografia bado maksi nane nipate B lakini naendelea vizuri"
[emoji81][emoji81][emoji81] Mkuu inabidi tuwawajibishe hawa watu!
 
Tumejichafua kwa mambo tunayofanya wenyewe
JamiiForums1556293584.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna lolote la kumtuhumu nalo hapo bahati nzuri mwenyewe nimeisikia hiyo taarifa yake mchana saa Saba leo,
Mkuu katengeneza makala chochezi,na kuitoa Leo makusudi kwa matakwa yao mabeberu.

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Hao watu ni vibaraka Wa mabeberu walishakula kiapo
Nimekua msikilizaji mzuri wa habari za DW ila huyu mwandishi wa habari amekua akituchafua kimataifa TANZANIA.

Leo kandaa makala iliyojaa uzushi na wongo mkubwa juuh ya mwenendo wa corona Tanzania,kahoji madakitari bahazi nakuja na hitimisho baya la kutuchafua kimataifa,mfano Kuna madakitari ambao wamezungumza wamekua wakijinunulia barakoa kwa kujichanga kwa vikundi hii SI mbaya ila yeye kagongelea msumari kua serikali kushindwa kusambaza vifaa vya kutisha Jambo ambalo si kweli,pia Kuna badhi ya wahojiwa wamediriki nao kutuchafua kwakusema wagonjwa Ni wengi hii haijakaa sawa kwani wanaopaswa kutoa tarifa Ni wizara ya afya SI vingine.

Rai yangu watanzania tupuzie huu uzushi wa mabeberu.na hawa wahojiwa vibaraka wachunguzwe

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Hao watu ni vibaraka Wa mabeberu walishakula kiapo
Inasikitisha Sana kwani wanapandikiza uchochezi kwa jamii,wanaona Tanzania inachanja mbuga wao wanavuta shati nyuma makusudi.

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Tatizo huna akiri unafikiria kupitia matako ndio nyie mnaoitwa mashamba mkikamatwa banana mnakuja kutulilia humu ili tuuungane mnasahau kuwa mkimaliza huko hali ikitulia mnatutafuta kutukamata na kutufunga na kutuwekea madawa ya kulevya ya uongo na kutunyima dhamana na kuuuwa watanzania wasio na hatia kisa wamewakosoa, nimesema ushamba kwa sababu wewe umeipata hiyo habari mbaya unakuja kuisambaza hata sisi tuliokuwa hatujui ubaya wa serikali ambao hatukusikiliza hiyo radio tumeipata kupitia kwako, tumieni akiri nyie ushamba unawagarim, ukisikia habari ukikaaa kimya inakwisha kimya kimya Lakini kutokana na ushamba wenu mnaisambaza Kama walivyofanya kwa idrisa kila mtu ameiona ile Picha hadi Vijijini kutokana na idrisa kukamatwa msingemkamata magufuli hangedharirika kwa watu wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
True. Kama ni kuichafua Serikali huyu kachangia zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom