Elizabeth wa DW anatuchafua kimataifa

Elizabeth wa DW anatuchafua kimataifa

The problem of Tanzania we don't stand as one nation! Kuna watu wanaiongelea vibaya nchi nje as if wao ni warundi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi Kama watu wananyanyasika wanateseka wanakamatwa na kuwekewa madawa ya kulevya, wanakamatwa kisa wamecheka suti watatoa wapi huo moyo wa kuisifia nchi? Watu wanaumizwa unaenda kupiga kura ili kumchagua Mbunge wako, matokeo yake kuna mtu mmoja tu anawaambia watu kuwa nitakupa wabunge 20 inasikitisha huwezi kuwa na moyo huo unaousema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataongea watachoka hawana sumu hao
Nimesikitika Sana kusikia kwa majina wanajitambulisha nakusema eti umoja wa madakitari waliohitimu chuo Cha KCMC wanachangishana kusaidiana vifaa nikajiuliza mweshimiwa sikashakataza huu utaratibu

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Wanatumika bila kujitambua
Nimesikitika Sana kusikia kwa majina wanajitambulisha nakusema eti umoja wa madakitari waliohitimu chuo Cha KCMC wanachangishana kusaidiana vifaa nikajiuliza mweshimiwa sikashakataza huu utaratibu

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Juu
Nimekua msikilizaji mzuri wa habari za DW ila huyu mwandishi wa habari amekua akituchafua kimataifa TANZANIA.

Leo kandaa makala iliyojaa uzushi na wongo mkubwa juuh ya mwenendo wa corona Tanzania,kahoji madakitari bahadhi nakuja na hutimisho baya la kutuchafua kimataifa,mfano Kuna madakitari ambao wamezungumza wamekua wakijinunulia barakoa kwa kujichanga kwa vikundi hii SI mbaya ila yeye kagongelea msumari kua serikali hajatoa vifaa vya kutisha Jambo ambalo si kweli,pia Kuna badhi ya wayojiwa wamediriki nao kutuchafua kwakusema waginjwa Ni wengi hii haijakaa sawa kwani wanaopaswa kutoa tarifa Ni wizara ya afya SI vingine.

Rai yangu watanzania tupuze huu uzushi wa mabebere.na hawa wahojiwaji wachunguzwe

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Juuh
Waginjwa
Mabebere
Bahadhi
Wayojiwa😜😜😜😜😜😜
 
Ila ww ndo una akili dah binaadam kujiona mkamilifu wakati mkamilifu ni yule anashikilia pumzi zetu muda huu.
Tatizo huna akiri unafikiria kupitia matako ndio nyie mnaoitwa mashamba mkikamatwa banana mnakuja kutulilia humu ili tuuungane mnasahau kuwa mkimaliza huko hali ikitulia mnatutafuta kutukamata na kutufunga na kutuwekea madawa ya kulevya ya uongo na kutunyima dhamana na kuuuwa watanzania wasio na hatia kisa wamewakosoa, nimesema ushamba kwa sababu wewe umeipata hiyo habari mbaya unakuja kuisambaza hata sisi tuliokuwa hatujui ubaya wa serikali ambao hatukusikiliza hiyo radio tumeipata kupitia kwako, tumieni akiri nyie ushamba unawagarim, ukisikia habari ukikaaa kimya inakwisha kimya kimya Lakini kutokana na ushamba wenu mnaisambaza Kama walivyofanya kwa idrisa kila mtu ameiona ile Picha hadi Vijijini kutokana na idrisa kukamatwa msingemkamata magufuli hangedharirika kwa watu wengi

Jifunze kwanza kutofautisha matumizi ya li na ri sehemu husika.

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Nimekua msikilizaji mzuri wa habari za DW ila huyu mwandishi wa habari amekua akituchafua kimataifa TANZANIA.

Leo kandaa makala iliyojaa uzushi na wongo mkubwa juuh ya mwenendo wa corona Tanzania,kahoji madakitari bahadhi nakuja na hitimisho baya la kutuchafua kimataifa,mfano Kuna madakitari ambao wamezungumza wamekua wakijinunulia barakoa kwa kujichanga kwa vikundi hii SI mbaya ila yeye kagongelea msumari kua serikali kushindwa kusambaza vifaa vya kutisha Jambo ambalo si kweli,pia Kuna badhi ya wahojiwa wamediriki nao kutuchafua kwakusema wagonjwa Ni wengi hii haijakaa sawa kwani wanaopaswa kutoa tarifa Ni wizara ya afya SI vingine.

Rai yangu watanzania tupuzie huu uzushi wa mabeberu.na hawa wahojiwa vibaraka wachunguzwe

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA

Hebu na wewe fanya mahojiano na madaktaru halafu ulete mrejesho!
Halafu hiyo wizara si inaongozwa na binadamu? Hivi hawawezi kupika data kwa maslahi wanayojua wao..!??
Then uccm wako utakupeleka jehanam...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimekua msikilizaji mzuri wa habari za DW ila huyu mwandishi wa habari amekua akituchafua kimataifa TANZANIA.

Leo kandaa makala iliyojaa uzushi na wongo mkubwa juuh ya mwenendo wa corona Tanzania,kahoji madakitari bahadhi nakuja na hitimisho baya la kutuchafua kimataifa,mfano Kuna madakitari ambao wamezungumza wamekua wakijinunulia barakoa kwa kujichanga kwa vikundi hii SI mbaya ila yeye kagongelea msumari kua serikali kushindwa kusambaza vifaa vya kutisha Jambo ambalo si kweli,pia Kuna badhi ya wahojiwa wamediriki nao kutuchafua kwakusema wagonjwa Ni wengi hii haijakaa sawa kwani wanaopaswa kutoa tarifa Ni wizara ya afya SI vingine.

Rai yangu watanzania tupuzie huu uzushi wa mabeberu.na hawa wahojiwa vibaraka wachunguzwe

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Sasa Kama amewahoji madaktari nao Ndiyo wamethibitisha hayo tatizo lake ni lipi?
 
The problem of Tanzania we don't stand as one nation! Kuna watu wanaiongelea vibaya nchi nje as if wao ni warundi!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu labda nayo inawatendea vibaya kuliko hata warundi.

Mfano, mkuu hili la kuficha takwimu na kuwaweka watu hatarini wewe waliona je? Wewe waliona la kheri hilo?
 
Back
Top Bottom