Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,740
- 27,104
Nimekua msikilizaji mzuri wa habari za DW ila huyu mwandishi wa habari amekua akituchafua kimataifa TANZANIA.
Leo kandaa makala iliyojaa uzushi na wongo mkubwa juuh ya mwenendo wa corona Tanzania,kahoji madakitari baadhi nakuja na hitimisho baya la kutuchafua kimataifa,mfano Kuna madakitari ambao wamezungumza wamekua wakijinunulia barakoa kwa kujichanga kwa vikundi hii SI mbaya ila yeye kagongelea msumari kua serikali kushindwa kusambaza vifaa vya kutisha Jambo ambalo si kweli,pia Kuna badhi ya wahojiwa wamediriki nao kutuchafua kwakusema wagonjwa Ni wengi hii haijakaa sawa kwani wanaopaswa kutoa tarifa Ni wizara ya afya SI vingine.
Rai yangu watanzania tupuzie huu uzushi wa mabeberu.na hawa wahojiwa vibaraka wachunguzwe
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA