Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,597
- 46,631
Sasa mbona malalamiko ni mengi sana? Hata TFF na CAS watawasaidia kwa lipi sasa. Mara leo hili mara kesho lile. Malalamiko malalamiko malalamiko"Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi au Viongozi wanaosimamia mpira wakianza kuwa biased (kuwa na upendeleo) hili jambo linaendaga taratibu taratibu mwishoni linaanza kujitokeza, unaanza kujulikana una upendeleo"
"Mimi nimekuwa nikiangalia sana baadhi ya mechi zinazochezwa, unaona kabisa marefa ni kama wanapangwa hivi, timu moja inachezeshwa na marefa wa aina hiyo hiyo muda wote, kwa sisi wataalamu wa mpira na wajanja tunajua kabisa huyu refa anatembea na hii timu, lakini timu zingine zinaona na zikishaona mwisho zinafikiria TFF wanapendelea, wakati mwingine unaweza kukuta TFF hawapendelei ila vyombo vyake ndivyo vinavyofanya madudu" Amesema Eliud Mvela, Aliyekuwa Mkurugenzi wa kamati ya Sheria na hadhi ya wanachama na wachezaji TFF.
Tutaelewana tuuSasa mbona malalamiko ni mengi sana? Hata TFF na CAS watawasaidia kwa lipi sasa. Mara leo hili mara kesho lile. Malalamiko malalamiko malalamiko
Na wanaolalamika ni walewale tu Utopolo.
Mbona Simba hawalalamiki Yanga/GSM kudhamini vilabu vingi na kupanga matokeo.
MMESHIKWA PABAYA
Shosti yako Tatu Malogo mbona hujamuweka kwenye hiyo orodha? Halafu hao waamuzi huwa wanapangwa na Yanga, au zile kamati za Baba yenu mlezi Wallace Karia?View attachment 3326352mkiwa mnaongea upupu wenu muwe na viambatanishi...View attachment 3326354
View attachment 3326352mkiwa mnaongea upupu wenu muwe na viambatanishi...View attachment 3326354
Huyo Mveeela akiona hii kitu atajinyea.View attachment 3326352mkiwa mnaongea upupu wenu muwe na viam
Amechezesha mechi ipi?Shosti yako Tatu Malogo mbona hujamuweka kwenye hiyo orodha? Halafu hao waamuzi huwa wanapangwa na Yanga, au zile kamati za Baba yenu mlezi Wallace Karia?
Fuatilia tu, utajua.Amechezesha mechi ipi?
Huyo tahira mkuu akikujibu nitaomba uni tag....Amechezesha mechi ipi?
Ahahahah ahahahahFuatilia tu, utajua.
Mkiambiwa TFF na kamati zake zimeoza kwa rushwa na unazi, wacha🐐 wenu waliyoko kwenye payroll yenu pale Crown fm wanakaza fuvu🚮🚮🚮"Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi au Viongozi wanaosimamia mpira wakianza kuwa biased (kuwa na upendeleo) hili jambo linaendaga taratibu taratibu mwishoni linaanza kujitokeza, unaanza kujulikana una upendeleo"