Faru fausta
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 218
- 143
Ng'ombe wamefundishwa wanatembea kwenye mstari. Hayo magari yanaendeshwa na binadamu tena wengi wao wasomi lakini hawawezi kuendesha kwa mstari na utaratibu.Many people have gone to school but NOT EDUCATEDTofautisha mazingira, sehemu...vitu vilivyo hai na visivyo hai
kweli lakini mkuuNg'ombe wamefundishwa wanatembea kwenye mstari. Hayo magari yanaendeshwa na binadamu tena wengi wao wasomi lakini hawawezi kuendesha kwa mstari na utaratibu.Many people have gone to school but NOT EDUCATED
Mifugo inaweza kuwa na akilikweli lakini mkuu
tena akili simpo tuMifugo inaweza kuwa na akili
Hhhhtena akili simpo tu
Hamorapa hajui EnglishHicho kiingereza cha hamorapa
Tabia ya madereva wa Dar....huwa najiuliza sana hii elimu mbona haionekani kwenye maisha ya kawaida? Yaani how u conduct yourself! Kitabia unashindwa kumtofautisha dereva wa daladala na msomi wakiwa barabarani.
Ng'ombe wamefundishwa wanatembea kwenye mstari. Hayo magari yanaendeshwa na binadamu tena wengi wao wasomi lakini hawawezi kuendesha kwa mstari na utaratibu.Many people have gone to school but NOT EDUCATED