Elite all-female commandos graduate in Ngong.

Sinister

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
1,529
1,576
An elite all-female Special Weapons and Tactics (SWAT) team, the first of its kind in sub-Saharan Africa, has graduated in Ngong.
szstbo4mvitevklyzm25d4d691c077a3.jpg

The 48 commando officers aim to improve Kenya’s war against organised crime.
They are drawn from the Administration Police Service and have undergone five months of physical and combat drilling.
The training was the first phase of their 15-month-long programme of standardised training.
wdogh9bslml16yt5d4d6b950fbf4.jpg

Speaking while presiding over the passing-out ceremony in Ngong, Interior CS Fred Matiang'i said Kenya will handle emerging security threats and hostage crises promptly.
“What we have witnessed today gives us confidence that we have the capacity to protect our people.... We can rest assured that we have more officers who can undertake intricate security operations."
Their training featured application of Israeli Krav Maga, multiple weapons handling techniques as well as explosive and IEDS management.
The CS added that the government will look into improved welfare, advanced training, and capacity building.

Inspector General of Police Hillary Mutyambai commended collaboration with other stakeholders to improve security.
 
Lini sasa wanapelekwa Somalia kwenda kuwafutilia mbali al shabab
 
Hongereni sana majirani...

Ila mwanamke atabaki kua mwanamke... kwa mafunzo yote yale makali, magumu, ya kuchosha akili na mwili, ila bado wana matako manene...



Cc: mahondaw
 
Dah yaani video ingependeza.....badass.
Nadhani hata sura zao wapiga picha hawakukubaliwa kuzinasa. Sio kwa hiyo formation yao. Wenzao ughaibuni wamefanikiwa kupigania haki zao hadi wakakubaliwa kutumikia nchi zao na kuwa kwenye mstari wa mbele kabisa vitani. Huku upande wa pili kwetu Afrika bado tunajadili kuhusu misambwanda yao. Tulirogwa na mchawi kipofu sio mzaha.
 
Nadhani hata sura zao wapiga picha hawakukubaliwa kuzinasa. Sio kwa hiyo formation yao. Wenzao ughaibuni wamefanikiwa kupigania haki zao hadi wakakubaliwa kutumikia nchi zao na kuwa kwenye mstari wa mbele kabisa vitani. Huku upande wa pili kwetu Afrika bado tunajadili kuhusu misambwanda yao. Tulirogwa na mchawi kipofu sio mzaha.

Kikosi cha Wanaume
IMG_20190812_105249.jpg

Kikosi cha Kike
IMG_20190812_104915.png



Hatari
 
Back
Top Bottom