GE2025 Elisante: Kutoa kanga au chakula ni rushwa wakati huu wa kampeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Mtwara Mashauri Elisante amesema kipindi hiki cha kampeni wamejipanga kuelimisha wananchi kuhudhuria mikutano ya kampeni kusikiliza sera na kuchagua kiongozi wanayeweza kushirikiana naye kuleta maendeleo na siyo kuchagua kiongozi anayejihusisha na rushwa.

Elisante amesema kwa kuzingatia kanuni za maadili ya Sheria ya Uchaguzi zimeweka wazi vitu vinavyokatazwa na vinavyokubalika kutoa kwenye kampeni,Elisante ameyasema haya Leo Mkoani Mtwara alipozungumza na Joseline Kitakwa kutoka Bongo Fm Digital.

Pia Soma
 
Hawa huwa wanahangaika na rushwa ndogo ndogo zenye ushahidi wa kutafuta kwa tochi huku wakiacha rushwa kubwa na za wazi zikiendelea bila kubugudhiwa. Mama lao anatoa rushwa kubwa kubwa mchana kweupe, lakini TAKUKURU wanageuzia macho yao kwingine!
 
Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Mtwara Mashauri Elisante amesema kipindi hiki cha kampeni wamejipanga kuelimisha wananchi kuhudhuria mikutano ya kampeni kusikiliza sera na kuchagua kiongozi wanayeweza kushirikiana naye kuleta maendeleo na siyo kuchagua kiongozi anayejihusisha na rushwa.

Elisante amesema kwa kuzingatia kanuni za maadili ya Sheria ya Uchaguzi zimeweka wazi vitu vinavyokatazwa na vinavyokubalika kutoa kwenye kampeni,Elisante ameyasema haya Leo Mkoani Mtwara alipozungumza na Joseline Kitakwa kutoka Bongo Fm Digital.

Pia Soma
Takataka nyingine hii
 
Vipi zile baiskeli na pikipiki za mama, ilikuwa takrima?
 
Back
Top Bottom