N NASOMBE Member Joined Mar 26, 2021 Posts 23 Reaction score 7 Nov 5, 2021 #1 Naomba kuuliza kurudia mtihani kidato cha nne kina mwisho wake mfano mm mimemaliza 2010.naomba msaada
Naomba kuuliza kurudia mtihani kidato cha nne kina mwisho wake mfano mm mimemaliza 2010.naomba msaada
ANTHONY KWEKA JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 956 Reaction score 380 Nov 5, 2021 #2 Unaruhusiwaaa kurudia.... Jiaandikiashe mwakani..... mapemaaa 2022 upigee paper
N NASOMBE Member Joined Mar 26, 2021 Posts 23 Reaction score 7 Nov 5, 2021 Thread starter #3 ANTHONY KWEKA said: Unaruhusiwaaa kurudia.... Jiaandikiashe mwakani..... mapemaaa 2022 upigee paper Click to expand... Ahaa asante kai Kun walimu ambao unawajuwa wanapiga ayo masomo
ANTHONY KWEKA said: Unaruhusiwaaa kurudia.... Jiaandikiashe mwakani..... mapemaaa 2022 upigee paper Click to expand... Ahaa asante kai Kun walimu ambao unawajuwa wanapiga ayo masomo