Ujasiriamali (Entrepreneural spirit) ni kipaji pia kama soccer hivyo sio kila mtu anaweza. MO Dewji na ufanyabiashara wake woooote anaweza kucheza soccer kama Samatta?Ndio maana inaibua wahitimu ambao hawawezi kujiajiri ......
Kwani ni madaraja yote huwa yanaanguka wakati wa mvua? Vp yale yasiyoanguka? Je, yametengenezwa na nani kama sio watanzania hawa hawa?Mfano mimi huwa nadhani wale engineers wanaojenga madaraja yaananguka wakati wa mvua ni wamesoma vitu general, wangesoma vitu environment-specific wangeweka mafuriko kama challenge ya mazingira yetu,wangejenga madaraja yanayoweza kukabiliana na mvua/mafuriko....
Ujasiriamali (Entrepreneural spirit) ni kipaji pia kama soccer hivyo sio kila mtu anaweza. MO Dewji na ufanyabiashara wake woooote anaweza kucheza soccer kama Samatta?
Mbona wataalam wa kilimo wamejaa sana SUA Morogoro. Mnataka nini tena?Moja kuwafanya waweze ku explore opportunities ambazo zipo katika mazingira yanayotuzunguka mfano Kilimo
Unawapa case study inayohusu Kilimo, then unawaacha wakupe majibu...
Unemployment haiwezi kuisha kwa 100% bali inatofautiana kulingana na sera za serikali kwa wakati huo. Sasa hakuna pesa mtaani kwa sababu nyingi zimeelekezwa katika kujenga miundo mbinu.Pia sio opportunites tu, tuangalie na Challenges zinazotuface kama jamii kwa mfano Unemployment...
Ujasiriamali unataka roho ya ujasiri sana kama jina lenyewe linavyosadifu. Mwingine akipata hasara pressure inapanda kisha anakufa ila mwingine anakopa tena bank na anawekeza palepaleAnaweza kuwa trained mkuu akamzidi Sammata,lol, I'm joking, seriously hizo enterprenuer skills one can be trained,kuna vitabu na courses pia au sijakuelewa?
Kwani ni madaraja yote huwa yanaanguka wakati wa mvua? Vp yale yasiyoanguka? Je, yametengenezwa na nani kama sio watanzania hawa hawa?
Engineers waliotengeneza vinu vya nuclear vilivyolipuka Ukraine Chenobly pamoja na vile vya Japan vilivyovuja baada ya lile tetemeko la ardhi nao wana mfumo mbovu wa elimu?
Sawa my wanguSijasema yote yanaanguka mkuu,yapi yamejengwa na watanzania yakaanguka na ambayo hayajaanguka inahitaji Data analysis..
Unemployment haiwezi kuisha kwa 100% bali inatofautiana kulingana na sera za serikali kwa wakati huo. Sasa hakuna pesa mtaani kwa sababu nyingi zimeelekezwa katika kujenga miundo mbinu.
OkayHaiwezi kuisha, sababu duniani kote tatizo la unemployment halijawahi kuisha,ila kila nchi ina stratergies zake za kulipunguza hilo tatizo,hapo ndipo unapotumia wanafunzi kukusaidia...by the way nimetumia kama mfano tu
Sawa mySio kujaa bali how tunawatumia kwa manufaa ya Taifa
Ulichosema kweli. Mtu tokea darasa la kwanza hadi form 6 bado hujajua aswaaa unakuja kua nani.
Kuna jamaa humu analalamikaga alisoma PGM akitegemea atakuja kurusha ndege cha ajabu anapika kwa muhindi sahivi.