Godfrey- denis
Member
- Aug 26, 2022
- 64
- 119
Habari za muda huu wana uchumi na wawekezaji.
Kuanzia leo, nitakuwa nikiandaa mfululizo wa masomo mafupi ya kila siku kuhusu uwekezaji, hasa katika maeneo ya:
📌 Uwekezaji kwenye soko la hisa
📌 Hatifungani (bonds)
📌 Uwekezaji kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS, FAIDA FUND na M-WEKEZA.
Lengo letu ni kuelimisha, kuhamasisha na kuwawezesha Watanzania wengi zaidi kuelewa fursa hizi muhimu za uwekezaji.
➡️ Tafadhali fatilia kila somo, changia mawazo na uliza maswali bila woga.
Kwa pamoja tutajifunza hatua kwa hatua hadi kuelewa kwa undani kabisa namna bora ya kuwekeza na kufikia uhuru wa kifedha. đź’ˇ
Karibuni sana đź«´