VVU na UKIMWI ni changamoto kubwa ya kiafya duniani, lakini kwa elimu sahihi, upatikanaji wa huduma za afya, na matumizi sahihi ya dawa, maambukizi yanaweza kudhibitiwa na maisha ya walioathirika kuboreshwa.
Utafiti na Maendeleo kupata tiba tofauti na iliozoeleka ya hadi kifo.
Utafiti kuhusu tiba ya VVU/UKIMWI unaendelea na kumekuwa na maendeleo kadhaa:
- Gene Editing (CRISPR): Teknolojia ya kuhariri jeni inaonyesha matumaini katika kuondoa VVU kutoka kwenye seli zilizoambukizwa.
- Matibabu ya Kinga (Immunotherapy): Utafiti unafanywa juu ya matumizi ya matibabu ya kinga ili kusaidia mfumo wa kinga kuondoa VVU.
- Chanjo za VVU: Kuna juhudi za kutengeneza chanjo inayoweza kuzuia maambukizi ya VVU.
KULINGANA NA UFATILIAJI NA UTAFITI WAPO WATAFITI WENGI SANA AMBAO WAMEFANIKIWA SAWA NA UWEZO WAO KWA NAMNA MBALI MBALI HASA KWA WANAO TUMIA MICHANGANYIKO ASILIA KUPATA MATIBABU.
Lakini unajua shida nini hadi dawa zao haziwezi thibitishwa na hata kutangazwa ?
kwa mtazamo wangu ni kua ikisemekana dawa imepatikana tu, biashara za wengi sana plus viwanda vingi sana vya walio ishikilia dunia vitakufa, ikiwemo kiwanda cha ARV's , Condom na vingine ongezea mwenyewe.
hamna kitu cha bure hapa duniani lakini ulishawahi jiuliza kwanini hivi vitu vya majanga ya kimataifa hua ni bure, au ndio kuwageuza waathirika test objects [spacemens] kwamba kama ni madhara yawaanzie wao?
tutafika tu lakini africa kuna aina moja tu ya ARV inayo ingizwa kati ya hizi, hapo ndio utakapojua ni biashara ya mtu na spacemens wake anaowapelekea wapigwe na side effects ka milion ili maboresho yafanyike sio ya tutafta tiba lakini ya kutafta njia nzuri ya kutanua biashara maana side effects pia zitahitaji matibabu
Aina za Dawa za ARVs:
- Nucleoside Reverse Transcriptase Inhibitors (NRTIs):
- Zidovudine (AZT)
- Lamivudine (3TC)
- Tenofovir (TDF)
- Non-Nucleoside Reverse Transcriptase Inhibitors (NNRTIs):
- Efavirenz (EFV)
- Nevirapine (NVP)
- Protease Inhibitors (PIs):
- Lopinavir/Ritonavir (LPV/r)
- Atazanavir (ATV)
- Integrase Strand Transfer Inhibitors (INSTIs):
- Raltegravir (RAL)
- Dolutegravir (DTG)
- Entry Inhibitors:
hata mimi sijui, mi pia natia tu moyo watu zikiisha biashara zitatangazwa tu dawa na mamlaka zinazo husika kwa wanaotaka kusubiri dawa kwa wenye imani kari kunashuhuda kibao watu wanapona kwa maombi ya siku moja tu.
uzima upo kwakua huo sio ugojwa ni upungufu wa kinga mwilini kwaio hata kwa lishe nzuri na kufuata maelekezo yote ya watabibu ambao hata wao wanaogopa kuupata upungufu huo.[emoji28]
LINDA AFYA YAKO KUNA MAGOJWA MENGI TU YANAYOWEZA KUKUONDOA KWA MATESO KULIKO HATA HUU AMBAO UNARUHUSIWA NA KUNYWA KAMNYWESO.
KUA MUATHIRIKA SIO KOSA. KOSA NI KUTO LINDA WENGINE NA KUUSAMBAZA MAKUSUDIKALE, PIA KUSA KUBWA ZAIDI NI KUWANYANYAPAA WALIO KUBWA NA KAJANGA HAKA.
Be Blessed[emoji40][emoji1788]
HIV & AIDS IN NATURAL HEALTH KNOWLEDGE:
Human immunodeficiency Virus
Hawa ni virus wanaovamia Kinga za mwili wa mwanadamu / Askari wa mwili ( WHITE BLOOD CELLS )
AIDS = Acquired Immunodeficiency Syndrome
Hapa tayari mtu ana shida ya upungufu wa kinga mwilini na anaumwa
Kinga zikizorota , mwili hauwezi pambana na maradhi yoyote yale , ww utakuwa ni mtu wa kuumwa umwa tu kila wakati !
Katika Natural health knowledge;
Tunasema hakuna tatizo la kiafya lisilo na suluhisho , lililopo au litakalokuja baadaye ( HEAHOUTANG NATURAL HEALTH SYSTEM au XIANHE)
Ukiangalia Jinsi Mungu alivyoumba mwanadamu amemjengea na uwezo wa mwili kuponya aina yoyote ya ugonjwa bila kujali ni shida gani ya ugonjwa ; ( NATURAL RECOVERY SYSTEM)
Mwili ili uwe na afya njema una kitu tunaita Energy in balance level
Mwili una nishati aina 2 ambazo ndio uzima wa mwanadamu , hizi nishati zipo Opposite na nyenzie lakini ndizo huendesha uhai wa mwanadamu ;
Katika Nature nishati hizo tunaziita ni
FIRE PROPERTY ENERGY & WATER PROPERTY ENERGY
Hizi nishati / Energy lazima Ziwe na uwiano sahihi katika kila mfumo ili kuleta afya njema
Nishati hizi zinapokosa uwiano kwenye Mifumo hupelekea mtu kuumwa , hapa haijalishi ugonjwa , tunachoangalia na sehemu gani ina shida , Je ni kwenye Seli , au mfumo gani , na je tatizo lipo Connected na nishati / energy ipi , kujua hilo Mwili utaonesha dalili kujua shida ni nini na mwili upo kwenye hali gani
Fire Property energy , hii energy huhusishwa na utendaji Kazi , ni kama mchana / Productive
Hii aina ya Energy ikizidi kiwango basi mwili unakuwa more functional na kusababisha maradhi kama Hypertension ( BP) , High Sugar , Cancer , Parkinson Disease etc to damage your body
Mfano Cancer : Water energy kwenye Seli hushuka na kusababisha Fire energy kuwa juu kuzalisha sumu / Fire toxin high into cells , kufanya cells kuwa Cancer cells , hivyo kuchanganyikiwa na kuwa invasive , na kuzaliana kwa haraka kutokana na Fire energy kuwa too much kwenye Seli na kusababisha madhara makubwa !
Mwili utaonesha dalili kuona aina hiyo ya toxin imevamia mfumo upi .
Water Property Energy:
Nishati hii ni Cool energy, Kama USIKU , no function in this kind of energy it is dark, People they sleep during night
So ili Fire Energy isivuke sheria , inahitaji mawasilano sahihi na Water energy/ Proper Interaction between each other to generate life .
HIV :
Huyu ni kirusi anayesababisha Askari wa mwili wasizaliane / kuongezeka yaani wanapungua / kufa
Maana yake hawa Virus wana asili ya Cold ,
Kushusha Fire energy of the body , to interfere functions ;
Mtu anakuwa na Weak Energy , fever, diarrhoea, Vomiting, or endless cough or TB ( will generate phlegm toxin / excessive phlegm in the body to make TB , and Phlegm comes from fire energy low in the body )
So hawa Virus watatema Cold protein to weaken create cold environment for them to survive, and lower down your body fire energy by which the body soldiers energy will stuck and die mostly also will fail to generate
Hili ni tatizo kubwa sana it needs time to treat .
TREATMENT PLAN IN NATURAL HEALTH ( Heahoutang Natural Health System/ Xianhe )
Remember your body soldiers are fighting to take Virus out the body ; we get something called INFLAMMATION
So tutatibu kulingana na dalili mgonjwa ataonesha lakini
KEY POINT : FIRE ENERGY REPLENISHMENT,
Hii plan itaenda ku clear Cold toxin kwenye mwili na kuweza Kinga za mwili kufanya Kazi na kuzaliana , hii plan utaweka mazingira magumu kwa Virus hao na kushindwa kupambana
Then Combination formula of medicine itafuatana na dalili , Kama labda mgonjwa alikuwa na TB ( Kikohozi ) , tutaangalia aina ya kikohozi aina ya makohozi anayotoa mgonjwa
Kama anaharisha tutaona
Lakini muhimu zaidi pia ni Kuhakikisha mzunguko wa damu upo sawa , ili mwili uwe na Oxygen ya kutosha pamoja na Virutubisho
Finally mwili utakuwa very strong na kuweza kutoa hao Virus nje ya mwili , kisha mtu kupona kabisa tatizo hilo !
0757577995
0653048888
By Joseph A. Mwabange
Heshoutang Natural health system or Xianhe Practitioner !