Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 473
- 198
Habari wanajamvi samahani nilikuwa naomba kuuliza kuwa elim ya uganda ikoje kwa upande wa a level je mtu akisoma tz na kupata D na C na mengine ana E hayi ni matokeo ya 2014-2015 form four anaruhusiwa kusoma uganda advance?