Naomba mwenye utaalamu wa ufugaji wa bata mzinga anipe elimu. Nataka kufuga kibiashara
Ikibidi atuongezee uzoefu na masoko yake akija na maelezo ya kanga pia itapendeza zaidiNa mimi nitajifunza pia
Nenda sabasaba mwezi ujao utapata na vipeperushiNaomba mwenye utaalamu wa ufugaji wa bata mzinga anipe elimu. Nataka kufuga kibiashara
Ni wazuri ila wanagarama sana kimatibabu ni kama mtoto mchanga maana yanaugua ugua ovyo na kuvimba vichwa kama hauna uzoefu au kuwa makini na chanjo kwa kweli unaweza pata hasara sana kwa kubeba yalokufaNaomba mwenye utaalamu wa ufugaji wa bata mzinga anipe elimu. Nataka kufuga kibiashara
Pia kadri wanavyokua na uwezo wao wa kula unavyoongezeka! Inatakiwa ujipange hasa.Ni wazuri ila wanagarama sana kimatibabu ni kama mtoto mchanga maana yanaugua ugua ovyo na kuvimba vichwa kama hauna uzoefu au kuwa makini na chanjo kwa kweli unaweza pata hasara sana kwa kubeba yalokufa
kwani wanakula nini Cha Bei ghali,si pumba tu??Pia kadri wanavyokua na uwezo wao wa kula unavyoongezeka! Inatakiwa ujipange hasa.